“I don’t believe that the President is paid that low. If it is true he will be the first president to be paid such small amount of salary.”
President Magufuli this week vowed to slash salaries of top executives in public corporations and agencies saying some of them were getting alarmingly huge salaries.
Addressing a public rally in his home town of Chato, President Magufuli said starting from next financial year, no executive of a public institution would be paid more than Sh15m a month.
Tanzanian we are stupid it doesn't matter how much president get pay who care except for madness people
ReplyDeleteYule Raisi aliyepita aliwachia baadhi ya kundi wafanye wanavyotaka, wakawa na power wakajiona elite. Na hakukuwa na wala hata mmja wa kumuliza mshahara wake kiasi gæli? Kwanza alikuwa hataki hata maswali. Na alikuwa anapenda anavyotaka yeye. Sio wanavyotaka wananchi. Hata alipokuwa akisafiri safiri wala hakuna mtu aliyekuwa akimuliza bwana kiongozi uchumi wetu ni kidogo na wewe unasafiri safiri tena na kundi kubwa. Na kundi lako kutwa kusafiri. Hela zatoka Wapi? Watu kimya. Wakati wakina mama mahopitalini wanangaika hawana madawa wala vifaa vya kujifungulia. Watoto shule hovyo. Madawa hakuna hamna hata anaeulizwa. Mueshimiwa anachukua kiasi gæli? Kimya. Sasa wakiona mtu mwenye ukweli na uwazi matumbo joto. Wasifichuliwe mimali wanayomuliki. Heeee nyie binadam hizo zote ni tamaa tu za ulimwengu. Ulimwengu na mambo yake yanapita. Kuweni na kiasi ili na wengine nao wapate wajisikie.
ReplyDelete