Instagram Wamwongezea Diamond Dakika za Kuposti Video

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’ pamoja na watumiaji wengine wa mtandao wa Instagram wameonekana kufurahia kuongezewa nafasi ya kuweka video katika mtandao huo kutoka sekunde 15 hadi 60.

Diamond na watu wengine walituma baadhi ya video zenye urefu wa muda ulioongezwa kama ishara ya kufurahia ukubwa huo ulioongezwa kwenye mtandao huo wenye watumiaji zaidi ya milioni 400 duniani kote.

“From 15 seconds to 1 minute’ mwee! Asante instagram kwa kutuongezea urefu wa hizi ‘clip’ tujinafasi,” aliandika Diamond kwenye video aliyoituma akiwa na mtoto wake kwenye kifaa cha kubeba mtoto akiwa anavutwa

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Diamond weka majibu ya DND mtandaoni ndiyo tutakuelewa Tiffa ni mtoto wako, ama sivyo hamna mtu anayekubali Tiffa ni mtoto wako. Weka majibu mtandaoni ndiyo watu watakubali si unajua wabongo wanaongoza kwa umbea na kwa kuongea sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. waweke ya kwao na baba zao kwanza !!!

      Delete
    2. Sawa swa wee anon hapo juu umempasha haswaa. Aweke tena na ya babu yake pia sio baba pekee mpka babu na babu yake

      Delete
  2. na kwanini Tiffa ni mweupe sana kuliko wewe Diamond, tunaelewa Zari ni mweupe kwa ajili ya KUJICHUBUA, sasa kwa nini Tiffa ni mweupe?

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbona mapovu yanawatoka kwa mtoto wa mwenzenu???? tafuteni wa kwenu

      Delete
  3. au Zari anatumia kopo kwa Tiffa yaani anampaka Cream awe mweupe, na mtu huruhusiwi kumpaka mtoto mafuta au Cream za kujichubua

    ReplyDelete
  4. ZARI KAMBAMBIKIA MTOTO ACHA WEUPE SURA NI KATUNZI JAMANI,LISEMWALO LIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad