Jerry Muro Afunguka Haya Kuhusu Rais John Pombe Magufuli Baada ya Kumfuta Kazi Anne Kilango


Msemaji wa Timu ya Yanga amefunguka kuhusu Rais Magufuli mara tu baada ya kutengua Ukuu wa Mkoa wa Anne Kilango huko Shinyanga....

Ameandika haya katika mtandao wake:

"Huyu ndie Rais ambae Mungu amemsisha katika taifa la Tanzania, Africa na Dunia na kupitia yeye Tanzania itapona, Africa itapona na Dunia itapona, tunakupenda rais wetu"
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TUNAMPENDA SANA.MUNGU AMUANGAZIE MWANGA WA KUZIDI KUONA MAOVU.

    ReplyDelete
  2. mi mwenyewe najipendekeza tu ili nipate cheo!

    ReplyDelete
  3. Pia mikoa mingine pia ifanyiwe uhakiki ikionekana kuna udanganyanyifu wahusika watimuliwe pia

    ReplyDelete
  4. God bless him

    ReplyDelete
  5. ungekuwa wewe jerry muro ndio umefukuzwa kazi ungelia kama mwanamke... jamaa analiaga huyu unakumbuka kwenye ile kasfa yako ya rushwa mwaka ule ulivyoliaga??? tehetehetehetehe wewe nawe ni jipu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad