Jeshi la Polisi Mkoani Arusha Limemkamata Kijana Aliyemwita Rais Magufuli Bwege Kupitia Facebook....
3Udaku SpecialApril 16, 2016
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha, limemkamata Isaack Habakuk Emily, kwa kosa la kumtukana Rais John Magufuli kuwa ni 'Bwege' na kwamba hawezi kufananishwa na Nyerere na kusambaza ujumbe huo kwenye mitandao ya kijamii.
Nini maoni yako?
in short uwezi kumwita kiongozi wako bwege sio neno zuri, kiongozi anapaswa kuheshimiwa...hata kama hujamkubali usimtukane mpe heshima yake kama rais pia sio lazima afanane na nyerere. hapa kazi tu!
Heshim ni yalazim, so huy anahitaj vyombo vya sheria ili asem alie mtuma kisha apimw ili wajue kam anatatiz la akil.
ReplyDeletein short uwezi kumwita kiongozi wako bwege sio neno zuri, kiongozi anapaswa kuheshimiwa...hata kama hujamkubali usimtukane mpe heshima yake kama rais pia sio lazima afanane na nyerere. hapa kazi tu!
ReplyDeleteakome hii mitandao wamezidi kuitumia vibaya
ReplyDeleteapewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine