Julias s. Mtatiro Ameandika haya katika kurasa wake ya Facebook kuhusu kutumbuliwa kwa Wilson Kabwe siku ya uzinduzi wa Daraja la Nyerere..
"Kuondolewa kwa Wilson Kabwe hakuwezi kupingwa na mtu. Lakini staili ya kufukuzana kazi kwa kudhalilishana inayofanywa na mtu mwenye mamlaka makubwa sana ambayo Mwalimu Nyerere aliwahi kuyalinganisha na "Udikteta", haikubaliki. Katika dunia ya utawala bora na utawala wa sheria, utu na heshima - inatosha sana RAIS akisema "nimelipokea", kisha nusu saa baadaye wananchi wakapokea taarifa ya ikulu ikieleza "fulani" amesimamishwa na uchunguzi unaendelea.
Viongozi wanapofanya mambo muhimu kwa kutumia njia zilizojaa hamasa, ushabiki na sifa halafu tukaendelea kuwapigia makofi, tunatengeneza tatizo kubwa na kuna siku tutalikuta milangoni mwetu.Mtatiro J"
Je kwa haya aliyo andika Julias Mtatiro je yanamashiko ??? toa maoni yako...
I agree with Mtatiro. Rais lazima awe na class ya kutumbua. Sasa anatumbua bila kuvaa gloves. It's cheap popularity.
ReplyDeleteMy dear wheather you agree or disagree..We have mandated JPJM to lead us knowingly he has a passion and dedication above all he is a commoner who wear our shoes 👞 before his.. He has the qualities..he is able person with a very strong 💪 personality..and unmatchable leadership style.. He aims to change the business as a whole to revamp the way how we used to swindle the government earnings..all the loophole are being worked on..so tumbua yumbua will continue with no prior notification anywhere anytime..umeipata?? JPJM IS DEEMED AS A SAVIOUR OF MTANZANIA MWEMA NA MZALENDO ARE YOU??????
DeleteMdau hapo umenena hapo kimombo..lakino mbubu pia nimeelewa..sijui mtililo jam kakupata mnaake uliyinena Ni saws kabisa!!!!
Deleteapa sasa ndio napata picha kama ukawa ingechukua nchi mambo yangekuwa vip
ReplyDeleteMafisadi wote na ukawa ndio mna mchukia Raisi hamna jipya kasha kua Raisi na mtatumbuliwa sana,,,miaka 10 ijayo mtasubiri sana na sijui mtamsimamisha mgomea gani.
ReplyDeleteTumbuuuuuua nasema hv mh raisi tumbuaaaaa na ukiona umechoka nipe mm fagio la uchuma uine balaa niatafyeka mpaka ukoo wao...kwani si wakiiba ukoo mzima unanufaika....alaaa walituchezea mnoooo fukuza jpm fukuzilia mbali watasema mchana usiku watalala sie twasonga yani nyie ukawa eeh 2020 mtapata kura asilimia sifuri...maana hamjielewi hata mnataka nn
ReplyDeleteMmh mtatiro hats wewe ni wakusema maneno Hays,kweli wapinzani hakuna hoja.
ReplyDeleteNAYE ANAFAA KUTUMBULIWA MAANA RAIS AMESEMA "NILIMPA CHEO KWA KUTANGAZA HADHARANI NA NITAMFUKUZA HADHARANI" KOSA LIKO WAPI LA RAIS TENA NAFIKIRI MTATILO NI JIPU KUBWA SANA KAMA WALIVYO HAO WANAOJIITA HAKI ZA BINADAMU
ReplyDeleteMtikufu laisi Ni Magufuli...kwani mtatilo Ni nani?????? Kutumbua Ni saws wakati wowote..mahali popote na kwa sababu yoyote inayo lizisha... Tatizo liko wapi kwa mrimbuaji au mtimbuliwaji ... Aise....nchi inaanzaga kuwaga mxuli ru..hii ndiyo Tanzania tuliyo kuwa tunaotaga zamani lakini sasa Ni laivu...endelea Baba JPJM...
ReplyDeleteTena kwa taalifa yako mtatilo..katina nimeombaga tubadirishage kwa KWA HIYU MUOKPZI IWE VIPINDI 3 X5 ILI KUMPAGA MUDA WA MAJERUHI AMBAO ITALIWA WA NYONGEZA AWEZAGE KUMARIZIAGA MAJIPU MAKOMBA..UPO BANDUGU YANGU..AMUKAGA HII TANZANIA MUPYA OLIJINO...ENDEREAGA BABA JPJM
ReplyDeleteJPJM NI LAISI WA WATANZANIA TUMENPA MAJUKUMU SISI WANANCHI..NA AMETIAHIDI HATO TUANGUSHA..JE WE HUNA IMANI NA UTENDAJI WAKE..MIE NAKUURIZA??? NIJIBU BASI...
ReplyDeleteHiyo Mwitatiro WA wapi?? nisaidiwni kumwerewa!!!!
ReplyDeleteMtatiro... Upeo Wako sijui Ni nyuzi 45 au 90.. Mimi ningekushauri at least 180 (mbele yako) maana take umedhihirisha kuto angalia anavyo angali JPJM..361 NA NYONGEZA moja.. Wewe kuwa mshabikiaji tu... Ya JPJM Mwachie mwenyewe afanye kazi yake... Na utndaji WA staili yake anavyo taka kivyake..je wewe unajiteua kuwa mwalimu wake???...
ReplyDeleteHawakuwa na style ya kuiba hakuna haja ya style ya kuwatumbua.Kosoeni ujambazi na ufujaji wa mali na mateso wanayopata wananchi sio jinsi ya kuwabembeleza wahalifu.
ReplyDeleteKama huna jipu la kutumbuliwa usiwe na wasiwasi. Kama una jibu la kutumbuliwa litatumbuliwa tu. Mungu muongoze na mlinde raisi Makufuri.
ReplyDeleteTumbua baba go go go JPM tulishachoka kudhulumiwa
ReplyDeleteHuyu Mtatiro simjui ni nani lakini anayosema yana ukweli ndaniyake. Kutumbuliwa ni lazima ili wananchi wawe na imani na serikali kwahapa Tanzanian ilipofikishwa na tawala zilizopita. Naamini raisi wetu is better than this. Sheria na katiba zifuatwe. Ningefurahi kuona raisi wetu anafuata taratibu kama raisi anaeheshimika na makundi ya watu wote anaowaongoza na sio kufurahisha wale waliomchagua tu. Uongozi wake uwe kwa manufaa ya watu wote.
ReplyDeleteNdugu mupenzi inaelekea hujamwerewa JPJM... PIA KAURI YAKO NI POTOFU UNAVYO KIFIRIA KWAM A YEYE ANATAKAGA KUEAFURAHISHAGA WARO MWICJAGUA... SIVYO HIVYO HUYU JONI YUKO KAZINI NA ANAFANYAGA KAZI YAKE KWA UHAKIKA HABAHATISHAGI.. NDUGU. UANGU KAA CHONJOOO SAA MBAYA..MAGUFURI BABA ENDEREAGA KASI ILE ILE.. TUMEKUPAGA MAJUKUMU MUNGU AKULINDE.. NI SAWA KABISA ENDEREA WEWE NA SISI TUKO BEGA KWA BEGA.. WEWE MUDAU ..ANAGARIAGA NA UENDEREE KUISOMAGA NAMBA..MWANGALUKA WIZAA..JPJM TUKO PAMOJA ENDELEA KABISA NA MUNGU ATAKULINDA..MAJIPU NO MENGI FAGIA GAGIA TUEE NA TANZANIA MUPYAAAAAA
DeleteHer Mbona unakosea mdau..Mtukifu Raisi alipo apishwa inajia alikula kiapo gani?? Usizungumzie uzito yajua..hakuja kuiendesha Mcc au ccm au kauwa au cfu ameapishwa kwa ajili yetu sisi Mimi na wewe na yule na wake..anaiongoza Tanzania bila kibali Dini/ Kabila/ Rangi/ Mtoto WA mjomba na shangazi kwake wote Ni saws na maendeleo anayo keta Ni kwa Taifa na siyo njia au wilaya au kijiji.. THIS IS A LEADERSHIIP NEW ERA..AND THE BEST PERSON RO DOO IS MAGUFULI WITH HIS ESTEEMED TEAM IKIONGOZWA NA MH.MAJALIWA.. WE COULD SEE WHAT RHEY ARE DOING NAD WHAT IS BEING DONE IN THE FIELD.. ITS SUPER..LET THEM CONTINUE WITH THEIR CHOSEN STYLE AND REST ASSURED...WE WILL �� REACH THERE..TULIA TULI KAMA MAJI YA MTUNGINI
Delete