Sasa hapa Ayo TV imempata msanii wa Hip Hop, Kalapina ambaye hivi karibuni alikwenda Sober House ilipo Bagamoyo kumjulia hali Chid Benz..
‘Chid benz sasa hivi anaendelea vizuri ni tofauti na vile mwanzo alivyokuwa, inategemea na mtu alivyoathirika atakaa siku ngapi mtu anaweza anakaa miezi sita au miezi saba Chid Benz ana siku 29 inategemea pia na dawa gani anazopewa ili mwili urudi kama zamani’– Kalapina
Itazame hii video hapa Kalapina amezungumza mengi kuhusu matibabu ya Chid Benz