Kauli ya Kwanza ya Mkurugenzi wa TFF Baada ya Mchezo wa Yanga na Coastal Union Kuvunjika Jana...

Baada ya mchezo huo kuvunjika uliyokuwa unarushwa Live kupitia Azam Tv, ripota wa Azam Tv alifanya mahojiano mafupi ya Live kutoka katika uwanja wa Mkwakwani Tanga na kaimu mkurugenzi wa mashindano wa TFF Jemedali Said ilikujua mambo yatakuwaje mchezo utarudiwa au inakuwaje?

“Kiukweli mchezo umevunjika lakini haya mashindano yanaendeshwa kwa kanuni na taratibu ila sisi tunasubiri ripoti ya muamuzi na kamisaa wa mchezo ili tuweze kufanya maamuzi” Alisema Jemedali Said

Nafasi za Ajira leo Tembelea www.ajirayako.com 
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAO MASHABIKI WA COAST SI WANA MICHEZO KABISA, TFF IWASHUSHIE RUNGU LA ADHABU KALI IKIWEZEKANA WAFUNGIWE MASHABIKI KUINGIA UWANJANI

    ReplyDelete
  2. Hakuna sababu ya kurudia mchezo,hata kama waamuzi hawakuwa sawa.
    Coastal ndio waliharibu mchezo na tena wakiwa nyuma kwa 2-1
    hivyo kisheria yanga ni washindi.

    ReplyDelete
  3. hamna mchezo kurudiwa YANGA imeshinda, mashabiki wa cost wamefanya vurugu kwahiyo ushindi ni wa Yanga.

    ReplyDelete
  4. YANGA WAPITE TU,ETI WANAJIITA WAARABU WA TANGA NA WANA MBINU CHAFU SANA BAHATI MBAYA HUWA HAWAFANIKIWI TU,KUPULIZA DAWA VYUMBANI NA USHIRIKINA SANA.COASTAL WAMEZOEA FUJO NA ADHABU YAO MECHI ZA VPL ZITAKAZOCHEZWA KWAO WACHEZE BILA MASHABIKI.WANYOOKE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad