Kifo cha Mwimbaji Papa Wemba Chawa Pigo Kubwa Kwa Diamond Platnumz...Azungumzia Collabo Waliyofanya Kabla ya Kifo Chake


Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ameoneshwa kustushwa kwake na taarifa za kifo cha mwanamuziki mwenye asili ya Congo Papa Wemba, huku akielezea jinsi walivyokutana siku chache zilizopita na kufanya naye collabo.

Kwenye ukurasa wake wa Facebook Diamond ameelezea huzuni hiyo, huku akitoa taarifa kuwa kulikuwa na mipango mingi ya wao kufanya kazi, lakini mauti yameshafuta mipango hiyo.

“Wiki nne tu zilizopita tulikuwa Paris, akanishirikisha kwenye nyimbo yake, tukapanga mengi juu ya wimbo halafu ghafla naskia habari ya msiba…Dah! nimesikitika sana. Hakika binadamu ni wazungumzaji tu ila Mwenyez Mungu ndiyo mpangaji…Pumzika salama Kiongozi wetu daima tutakukumbuka” aliandika Diamond Plutnums kwenye ukurasa wake wa facebook

Msanii Papa Wemba amefariki dunia jana baada ya kuanguka akiwa jukwaani akiimba na kufariki papo hapo nchi Ivory Coast.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona muongooo huyuuuuu jamaniiii!!!anatafuta Kiki tuu mbona hazungumzii alivyo mlala mke wa Shetta mpaka leo hii yeye na Shetta kimenukaa hawasemi na kaenda nae south juzi akiwa chini ya ulinzi wa Halima kimwana mke wa mwenzie ndo sawaa!!!????jeuri ya pesa inamsumbuaa yetu macho,zari anakazi

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbavu zako wewe umelala wangapi??? au waliokulala ni wangapi???

      Delete
  2. Nawe fanya umrudie Mola wako AMALI YAKO NDIO INAYOKUZIKA

    ReplyDelete
  3. Nawe fanya umrudie Mola wako AMALI YAKO NDIO INAYOKUZIKA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad