Kumbe LUGUMI Anasupply na Vifaa vya Polisi Kama Uniform, Boot na Tape za Polisi...Kweli Tanzania Ilikuwa Shamba la Bibi

Inasemekana Lugumi hakuwa ana tenda ya finger print peke yake kwa Jeshi la Polisi kumbe alikuwa ana supply na vifaa vya polisi kama uniform, boot na tape za polisi..

Wanasema kazi hiyo alikuwa akiifanya na mke wa aliyekuwa IGP Said Mwema, na huyo Lugumi Amemuoa Mtoto wa Said Mwema

Angalia huyo picha juu kwa makini uone hiyo tape ya Polisi yenye details za Lugumya.


Kusoma zaidi Ingia Hapa
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ilikuwa ni mmja wapo za nchi za Kiafrika very Corrupition country. Ule utawala uliopita, shamba la bibi, bibi kesha zeeeka kila mmja anachota anavyotaka yeye au anavyojisikia yeye, looo kazi kwa wale walala hoi wao kulipishwa tu na vinaliwa na wenzao kundi la watu wachache waliokuwa wanajiona vigogo wenye nchi.walala hoi wao kutumika kwa kulipa, hapo hapo wakienda hospital dawa hamna, shule ovyooo. Miundo mbinu mibuvumibovu. Alimradi tu bibi amelala fofo

    ReplyDelete
  2. rais magufuli amekuwa kama dawa ya kuua wadudu amepuliza mungu wangu wadudu wote tunaanza kuwaona wanaotambaa na wanaokimbia hongera msukuma mwenzangu chawiza no baba

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad