Lulu Michael Avalishwa Pete ya Uchumba..ila Mwenyewe Kaandika Haya yaliyowaacha Mashabiki Njia Panda


Lulu leo amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kuweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram ikionyesha akiwa na pete ya uchumba...

Kwenye hiyo picha ameandika maneno haya:
Asante MUNGU Wangu Kwa Neema Zako ambazo hazijawahi kuniacha Maana Hata hiki kitendo cha kishujaa kujinunulia Pete Nzuri Kama hii Ni Kwa Neema tu Haya Acheni Umbea,hyo michezo yenu ya kuitana cjui kutagiana mtavunja Vidole....Kwa akili Yako nikinunuliwa/kuvalishwa ntakutangazia ?Jumapili Njema" Ameandika Lulu

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wanaogopa jini mauti!!!

    ReplyDelete
  2. Nani asiejua ulifanya kafara Nigeria watu wakafa kwa ajali Tabata? Umemuua Kanumba na bado unaendelea kuua watu wasio na makosa. Iko siku yako na wewe utaumbuka. Jini mauti weee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad