Mange Kimambi Afunguka Makubwa Kuhusu Taarifa za Kijana Kukamatwa na Polisi Baada ya Kumuita Rais 'Bwege'

Blogger Maarufu kwa kuikosoa serikali na mambo mengine ya kijamii amefunguka maoni yake baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuwa kuna kijana amekamatwa na polisi mkoania Arusha kwa kosa la kumwita Rais Bwege kupitia mtandao wa Facebook....

Mange Amefunguka haya hapa:

'Mangekimambi_ Seriously??????? Yani natamani kupasuka kwa hasira. Hivi Nchi ya watu million 50 tunawezaje kukubali watu 30 watunyanyase hivi?? Yes hii sheria imeletwa na less than 100 people and unfairly imposed on 50 million people I mean really? Eti huyo kaka amekamatwa hivyo jana kwa kosa la kumsema Magufuli Facebook . Aliweka comment kuwa siasa za Magufuli Ni za maigizo na kwamba wasimfaninishe huyo bwege na Nyerere.... Really? Hivi mnajua tunaanza Kuwa Kama China or North Korea. Really that statement ni ya kumfanya mtanzania awe harassed na polisi?? Sio lazma kila Mtanzania amsifie Magufuli, Sisi tunaomsifia tunatosha wasiompenda pia wana haki ya kutoa maoni yao wanavyojisikia wao.

Sasa mburulaz ambayo walikuwa hawaelewi why Kina January Makamba walikuwa wanapigania hii sheria, well this is why? Na nilikuwa nawaambia Kila siku hii sheria aim yake ni kutuogopesha kuwakosoa viongozi. Well there you have it. Tena wanaita na media wakija kukushika ili iwe habari ili na Wengine waogope.
Really mtanzania hawezi kumuita kiongozi ambae yeye anamuona Bwege (bwege). Hivi bwege tusi?? Eti Wengine wanasupport kakosea kumuita Raisi bwege , yes it's not nice kumuita anyone bwege much less Rais ni ukosefu wa heshima but that doesn't mean eti unatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria. No way..... Kwani Rais ni Nani? Raisi ni mfanyakazi wako wewe Maana unamlipa mshahara na unamlisha yeye na familia yake hatutakiwi kumuogopa Rais tunatakiwa kumuheshimu and respect is earned! Some of us amesha earn our respect but kuna watanzania ambao wanaona he still hasn't earned their respect and when he does they will sing is praises... Na wana ushahidi gani alimaanisha Magufuli ndo bwege? Just because ame comment chini ya pic ya mtu doesn't mean that, Yani hawa wanapoteza pesa za walipa kodi tu ' Mange

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwanz wewe ni nani? na hiyo sheria yako ulio soma ya kumtus mtu uliisomea wapi? tuk kweny inchi za demokrasia zeny kuheshim sheria za kibinadam ila hakun utakap kut eti kunaruhusiwa kumtukan mtu, kwanz ukimtus mtu huk ulie mtusi anahak ya kukushtaki, achan na kutusi kutem chakul cheny mwenzak iko anakula kish wewe unakizarau anahak ya kukufikish mbel ya vyomb vya dola. Kwa nini umtusi mtu wakat hajakutusi? huo ndo ukosoaji? we ki bibi usichangany wat heshim ni yalazim kwa binadam. Kusoa mtu vizur bila matus toka hapo Tanzania alafu nend kweny inch zinazo fuata sheria na kuheshim demokrasia alafu umtus mtu ujionee mwenyew kam huta fikishw mbel ya vyomb vya sheria.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We acha mbwembe.huu ni uhuru.ndoyo katimia neno bovu. Holi sii tuso la kushokwa na polisi. Mbona watu wa epa wezi wa mali za uma raisi lawatakatisha. Polis na askari wanaotuhumiwa kutumia pesa vbaya wako hiru. Watoto wa vigogo wenye kashfa nyingi bado wanavyeo. Hibi kazi kubwa ya polisi ni nini. Inatakiwa Raisi magufuli atamke kumwachoa kijana huru.no vitisho kandamizi kufunika makubwa ya viongozi wabvu. Hakuna sheria wazi Tanzania. Shetoa kandamizi ni tishoo kubwa la uhuru wa Mtanzania. Wssira alitukana pia polisi mko wapi kumkamata wasira

      Delete
    2. mburura mkubwa kwa kushabikia mamabo ya kijinga

      Delete
  2. Mange kimambi tumeshakuchoka kwenda zako huko na sura yako mbaya!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni nyonyi wenye matusi na dharau kwa wanawake.hna hata kisomo.wala sheria na uhuru wenu huujio. Pata elimu funguka. Ni nyinyi mizigo ya nchi hii.

      Delete
    2. Ni nyonyi wenye matusi na dharau kwa wanawake.hna hata kisomo.wala sheria na uhuru wenu huujio. Pata elimu funguka. Ni nyinyi mizigo ya nchi hii.

      Delete
  3. Na mimi nasisitiza kuwa MH Magufuli bwege ....kila mtu anauhuru wake, kuna kipindi nilikuwa natizama mkutano wa CCM kuna kada mmoja wa CCM visiwani alisimama na kusema Maalim Saif na Jusa (wanakazana) yaani wate ni mahanithi sasa mbona hajakamatwa jule kada!! Raisi Magufuli Bwege x100

    ReplyDelete
    Replies
    1. bwege mwenyewe hujitambui wala hujihisi mpumbavu mkubwa wewe, bwege wewe na familia yako yote na mliyojaa laana ya Mwenyezi mungu. na mlaaniwe 7 mara 70, mpendwa Rais wetu hayo yasikutishe badara yake kaza buti kanyaga twende inavyoonyesha baadhi ya familiya ya huyo anayotukana ukiwemo na wewe anony wa 1.15pm mmeshatumbuliwa majipu ndo maana midomo yenu imejaa maji ya chooni, pumbavu zako

      Delete
  4. Mange anatafuta kiki kama yule shoga yake michirizi alienyimwa mil.98. Tangu mzungu akumwage Mange unazidi kudata mamaee...Ubishololo kwishney. Na yule michirizi kabaki kulewa ovyo na kutafuta wa kumsugua per day...Na badooooo.

    ReplyDelete
  5. we mange njoo apa bongo ndo uongee huo upuuzi wako sio uko insta
    unajificha marekan eti unatetea haki kupitia insta cheki ulivyo kunguruu hahaha

    ReplyDelete
  6. freedom of speech coz mange domo lako zuri kwa kutukana watu na kigugumizi chako
    afungwe tuu haezi kumwita rais wetu bwege kwanza we mange ndio bwege

    ReplyDelete
  7. Kama kuna raisi anatukanwa nadhani ni obama donald trump anaoga matusi ya kila aina lakn akhaaa wao wanipiga kazi....kuna kesi nyingi za rushwa lakn hutaona mtuhumiwa mahakamani wanakwambia uchunguzi bado hahahahhahaha aisee i lav z my country hahahhahahaha uwiii nicheke mie viva tz viva ccm hahahaha

    ReplyDelete
  8. Kimambi unajiaibisha bure . Kisa umeweka kingereza kweny koment zako haimaanishi ww msomi banaa . Kla mtu anajua hlo cio neno zuri . Unataka tukuskilize unachosema afu tukubaliane na ww . Km unaona ni neno zuri na aliyesema kaonewa ebu muite rais hvo kwny social media

    ReplyDelete
  9. mange ni ziro huezi kutetea upuuz huu

    ReplyDelete
  10. Mh!! kwa kweli hata mimi namuunga mkono Mange, yaani bwege ndio zinga la tusi! au wanataka kutufunga midomo mbona EL anatukanwa kila kona, Jk anatukanwa, Obama ndio usiseme!! jamani please shut up law itatupeleka pabaya!! ndio maana kuna upinzani, maana yake ni hakuna kubembelezana i can talk what ever i feel about my opposite people!! sasa mbona ishakuwa noma jamani real, you shut us our mouths!!!! crying......... Ok please have mercy on him please....

    ReplyDelete
  11. huyu mange ni shida sijui likojee kama duduu
    kwanza we unaishi marekani unaitakia nin tanzania?
    hujui lolote kuhusu hali za watanzania watu tunataka maendeleo kwa njia ya amani na heshima endelea kuwachota akili ma followers wako uko IG na maisha yao fake kama ya kwako
    na ulaaniwe kwa kutetea uovu

    ReplyDelete
  12. Eatanzania jaribun kuw nauelewa kwa kuzungumza, kwan munazungumz hovyo bila kufikiria kweli wanyong watazid kunyongwa. Sijui Tanzania itakua na rais gani ambae atakubalik hata huyo huwa munamtaj kila siku Mwalimu Nyerere alipo kuwa hai palikua wenye kumping sasa hayupo kila mtu anamuzungumzia na kumpenda. So kwa nini hivyo? jaribun kuwek ucham pemben na mumuunge mkono kwan support yenu itamp juhud za kuwatendea wote haki. Wasio nahak njo weng na wanao ni wachach. Kam hamuta muunga mkon sidhan kam Tanzania itakuj kupat rais zaid ya Magufuli na kwa umahir wak wakufany kaz huy bwan atampiku hata Nyerere na mutayaon siku atamaliza mihula yak miwili, muungen mkon muon jins atakavy badilish Tanzania na kuw bora baran hat kuanz kupinzan na inch za Ulaya, Marekan. Na kwamising bor atakay yijeng nayul atakay mufuatia ataendelez sera zake, ila musipo musupport laa-hasha mutazid kuboror kwa kila kitu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad