Mange Kimambi Amshukia Lulu Michael...Ampa za Uso Kuhusu Kumtenga Mama Kanumba



Hali si nzuri kati ya Lulu Michael na Mama Kanumba Baada ya Madai ya Mama Kanumba kudai Lulu amemtenga hata salaam hampi siku hizi na hata siku ya kumbukumbu ya Marehemu Lulu Hakutokea Kanisani Wala makaburini...

Lulu leo ameandika about hiyo issue na kusema hivi:


Baada ya kusema maneno hayo Blogger maarufu alimshukia Lulu kwa kuandika haya kwenye ukurasa wake wa instagram:

"From @mangekimambi_ - Jibu la Lulu on this issue... Leo mama Kanumba anaitwa 'Muhusika Mwenyewe' we mtoto tema mate chini 🙆🏽🙆🏽🙆🏽🙆🏽.... One quick question mama yako mzazi Huyo ulienae Sasa Hivi akikukosea utaacha mawasiliano nae? Au utaacha kumsaidia? Si utasamehe na kusahau yote. Basi na mama Kanumba ungemchukulia hivyo hivyo. Mama sio lazma akubebe tumboni 9 months mama Ni matendo. Alichokufanyia Yule mama Ana deserve msamaha wako Mara 70, hata Kama hutaki kuwa karibu nae msaidie tu.. Please usitafute excuses. Hatujui what happened but rudisha roho nyuma ukumbuke Tanzania nzima ilipokuchukia na kukuhukumu yule mama alikupenda weww mtu ambae ulishuhudia kifo Cha mwanae , hakuna mama duniani angeweza kufanya kitu kama kile Lulu. Mama Kanumba alitunyoooosha nchi nzima.. Mama yako mzazi mwenyewe alikuwa hana msaada na wewe zaidi ya kulia tu, huyu mama aisee laana yake itakupata tena bila chenga na hata haya mabalaaa makubwa yanayoendelea kukupata huwezi jua ndo laana zenyewe hizo! Seriously! Yani ungeweza hata kutumia maneno mazuri kujibu na siyo hivyo ulivyo jibu yani umejibu like you don't need her, hata time huna wakati mama wa watu analilia hata salamu yako tu..... Yule mama mpaka alifunguliwa page Facebook na fans wa Kanumba ya kuchambwa kwanini ana kusupport. Jinsi watu walivyo m-mind yani Yule mama aliharibu hata kesi kwa kweli. Maana Mara nyingi kesi za mauaji Ni familia ndo huwa zinasimamia kesi kuwaforce polisi wafatilie , kulilia haki itendeke Ila Kwa Kanumba it was the opposite mama wa Marehemu anamkumbatia anae tuhumiwa kumuua mwanae... That was shocker, Leo unamchukulia poa tu! Yani kama vile umekorofishana na rafiki.. .
.
Sijui mnakumbuka ile kesi ya Conrad alimuuaga Mlay , Conrad alishatoka jela kijanja janja yani mambo yalimwendea poa, weeee familia ya Marehemu walikinukisha mpaka kwa Rais Mbona mpaka Leo anaozea jela. Same thing na lulu kesi ya Kanumba ilikosa kilio Cha familia tu...
.
.
I hope I didnt come across as being rude kwako Lulu. But niliona tu kuwa hakuna aliekuwa anakwambia ukweli. I'm not saying this because I'm perfect , hata mie nna yangu na mtu akinishauri bila mitusi au michambo huwa sigombani"

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. it's good umempa ukweli anawsahau fadhila huyo sio binadamu kumbuka mama kanumba amekuvua kwenye maji makubwa otherwise ungekuwa unasota Kwanza mtu yo yote aliekuzidi kiume kiumri lazima umu he's heshimu

    ReplyDelete
  2. hivi uyu mange mnampa kiki ya nini?mchawi mkubwa,mama yake marehemu hana hata time nae,siku ya wamama duniani i was expecting her kumpa kiki mama yake mzazi lakini walaaa,yeye anathamini babay tu,huyu mama msimpe kiki,anatafuta umaarufu na kujikomba kwa ccm ili apate kacheo aondokana na umasikini na maisha ya kuigiza anayofanya marekani,mume kamuacha ni single mother fala flan amazing,akwendreeee kule

    ReplyDelete
  3. BONGO MACHOKO KWELI HIVI MATUSI YOOOOTE MNAYOTUKANWA NA MLIYOWAHI KUTUKANWA NA KUDHALILISHWA NA ILI JINI MANGE,MMESHINDWA KUMSHIKISHA ADABU AKIWAGA HAPA TANZANIA?AU MNAMUOGOPA?NITUKANE MIMI WEWE MANGE UONE CHA MOTO.NAKUARIBU USO MAMAE.

    ReplyDelete
  4. Wewe Mange kimambi hujui kitu gani kilitokea kati ya mama Kanumba na Lulu, sababu Lulu alikuwa anampenda mama Kanumba alivyotoka jela mpaka mama Kanumba akawa rafiki na mama Lulu lakini kuna kitu kilitokea kati ya mama Kanumba na Lulu na hicho kitu hamna mtu yeyote mwingine anaweza kukiongelea kwenye social media sababu Lulu hawezi kubadilika ghafla mpaka asiende kwenye kabuli la Kanumba mbona zamani yeye mwenyewe Lulu ndiyo alifanya hofla ya kumbu kumbu ya kumkumbuka Kanumba, wewe Mange Kimambi usijifanye unajua kila kitu maana wewe unaingilia maisha ya watu bila kujua undani Wake, kuna kitu kilitokea kati ya mama Kanumba na Lulu na ndiyo maana leo hawana mawasiliano na mama Kanumba na Lulu wote hao hawataki kukiongelea hicho kitu katika social media. Kwa hiyo Mange kimambi usimlaumu mrembo Lulu kwani hujui kitu chochote na ushauri wako kaa nao wewe mwenyewe.

    ReplyDelete
  5. lulu ni jipu na litatumbuliwa soon we subiri! malipo hapahapa duniani.!

    ReplyDelete
  6. huyo mama lulu mwenyewe full shangwe makaburini huk amevaa tshirt ya kumpongeza mwanaye lulu. jamani mbona mnamuonea hivi mama wa marehemu. halafu mange anaeleza kweli watu wanaingiza bifu zao binafsi.

    ReplyDelete
  7. mange kasema ukweli kabisa na kiukweli ukweli unauuma Kwanza lulu ajiulize bila Marehem Kanumba angefika alipo sasa tuende mbele naturudi nyuma tukumbuke hisani mama kanumba ni Mpole sana wacha jeuri lulu usione umefika you still have long way to go to be who you are today thanks goes to Marehem Kanumba tusitukane watu ovyo lulu kaa utafakari ulikuwa wapi? na unakwenda wapi

    ReplyDelete
  8. mwacheni Lulu, kwani Lulu alianza kufahamika akiwa mdogo bila ya Kanumba, na wakati Lulu akiwa anaigiza akiwa mdogo Kanumba alikuwa hafahamiki, wabongo akili finyu, hamna kumbu kumbu mnasahau vitu haraka, kuweni kama wazungu wenye akili.

    ReplyDelete
  9. jamani kwani huyu lulu aliolewa na kanumba au kutolewa mahari pengine mseme hajamtendea haki mumewe au mkwewe, hebu mpeni poo huyu binti jamani. hali hii alikua sijui rafiki sijui nani mnamsakama utadhani ndo mke halali jamani walimwengu hebu acheni kuyakuza haya mambo. hayawahusu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad