Mange 'Sidhani Kama Kuna Rais Aliechambwa na Kutukanwa Matusi ya Nguoni Kama JK..Tanzania itamkumbuka For Freedom of Speech'

Insta Blogger Maarufu Mange Kimambi ameendelea kuliongelea suala la freedom of speech kupitia mitandao..Amemzungumzia Rais Mstaafu Jakaya kama ifuatavyo..
Mangekimambi_ Na yooote aliyofanya JK one thing Tanzania itamkumbuka JK for ni Freedom of speech! Sidhani Kama kuna Raisi alichambwa na kutukanwa matusi ya nguoni Kama JK, Yani ilikuwa kama tunaishi Marekani au nchi za Ulaya kumbe TZ. Sometimes mpaka freedom ilipitiliza Ila jamaaa alikuwa Kama haoni anavyochambwa na kipindi Cha 10 years sikuona mtu kashikwa kwa kumchamba JK.. JK mpaka aliwekwa zeutamu na kina Mange Kimambi ?? Ila Yule zeutamu jamani alijua kutikisa nchi aiseee!!🏽🏽. Yani ilibidi media iingilie kati kuwasema usalama why wanaruhusu Raisi anadhalilishwa vile ndo usalama kumfatilia mwenye blog, Ila JK wala hakuwa na time yeye alikuwa zake anganiiiiiiiii. .
.JK alituacha tuchongeeeee mpaka makoo yakauke yeye yuko zake vacation anakula bata maulaya hukooo .. Ila JK kibokooooooo. Ila nimeamini Kweli you can't have everything, Jk alitupa freedom of speech mpaka ikapitiliza ila Aliimaliza Nchi, Magufuli is repairing the country Ila katunyima freedom of speech .... Mtihani Kweli Kweli!
Nyie ambao hamjaelewa somo la leo soon mtaelewa tu, trust me. Ngoja Jamii forums wafungiwe na blog zoote ambazo ziko against the government then mtaelewa. Wameanza taratibu kihivyo yani! No live Bunge, mseme Rais unawekwa ndani soon mtaelewa tu! .
Eti Mange analalamika issue ya freedom of speech sababu ni mtukanaji, chief mimi watanifanya nini kwani?Hata nirudi Tanzania leo legally hawana cha kunifanya zaidi ya kunisumbua , labda waning'oe meno kama Dr. Ulimboka Ila kisheria hakuna kesiiii..... All I need is good lawyer like Kibatala and I will be out the same day. Tena this time najisalimisha mwenyewe saa mbili asubuhi ili wasipate mwanya wa kunilaza ndani wajifanye muda uliisha na nilikuwa sijatoa maelezo. Kama nimefanya kosa nimelifanya nikiwa nje ya Tanzania.. Serikali ya Tanzania haiwezi kunishtaki Kwa makosa niliyofanya nikiwa Marekani. So mnaodhani nafight hii law for me you are wrong hii law Mimi haini affect hata robo,So napoongea najua nachoongelea na najua nafight kitu gani. Hao kina Hoyce Temu walionifungulia kesi wanajisumbuaaaaaaaaa. Yani hakuna wakunishtaki Tanzania as long as nilivyokupa ukweli wako sikuwa kwenye ardhi ya Tanzania. Sorry bitches' Mange
Source:Mangekimambi_

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahhaja mange napenda sana confidence yako na wengi wanaokuchukia ni vile hawajiamini kama ww hawajitambui yani wapo wapo ndo maana wamebaki mange this mange that hahaha...we mwanamke ni nomaaaaaaaaaaaaaa yani unauelewa mapka nakuogopa afu upo straight...

    ReplyDelete
    Replies
    1. naona IQ za waTZ hasa wanawake zinazidi kupungua, shame shame shame.

      Delete
  2. Huyu mafunguo acha kujifanya mungu mtu Watu wakuogope wanatakiwa kukuheshimu tuu .huwezi kupendwa na watanzania wote hata mungu katuumba kuna watu wanamtukana unazani hao ccm wanakupenda?hata huyo mkwere anajuta kukupa nchii,wambie hao polisi wamuachie huyo kijana wawatu ni uonevu tuu.kuna watu wameiba mabilon lakini unawaogopa

    ReplyDelete
    Replies
    1. KWENDRAAAAAAAAAAAAAAA!HATA YEYE MWENYEWE ANAJUA KUWA HAPENDWI NA WATU WOTE,BAHATI NZURI KWA RAIS WETU ANAPENDWA SANA NA WANANCHI HASA WA KIPATO CHA CHINI AMBAO NDIO WENGI.

      Delete
  3. Habari yako Mange, uko USA sehemu gani mimi nipo hapa USA. Naomba email yako!!

    ReplyDelete
  4. We mwanamk Mange usipotosh watanzania ni sehem gani ya marekani ao ulay ambazo unaish sisi hatuish kweny wanaruhus matusi? mimi naish huku na matus hayaruhusiw hata kidogo so usiwadangany watanzania ambao wanaish inchin. Narudi tena hakun sehem yoyot ya Marekan wala Ulay wanaruhus matusi. Huk ukimtus mtu tu bas yemwenyew akitak anakushtak kwan ni kinyum ya sheria.

    ReplyDelete
  5. wewe unaejifanya unaishi Marekani usipotoshe watu. Kumtusi mtu directly kama kumuattack ndio ni kosa lakini kumuandika mtu mbona Obama anaandikwa kila siku magazeti ya udaku kibao na mambo chungu ya uongo ulishaona mtu kashtakiwa? au mwenzetu unaishi Marekani gani? Acha kudanganya watu wewe. Hapa Marekani hakuna cha Trump, Hillary wala nani watu wanaambiwa ukweli usiku mchana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad