Mastaa Bongo Waanza Kuchunguzwa Msako wa Wauza Unga...Zari wa Diamond Naye Pia Achunguzwa

Imefahamika kuwa ule msako wa Wauza unga sasa umenoga hadi kufikia kuchunguzwa kwa mastaa mbali mbali wa bongo hasa wale wanaosafiri mara kwa mara nchi za nje...Habari zinasema uchunguzi huo sasa unamgusa mpaka mpenzi wa Diamond Platnumz ajulikanaye kama Zari Hassan ambae Safari za Bongo kwenda South Afrika na kurudi hazimuishi....

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu snake lady hamumuwezi nyinyi, huyo sijui zarina ni dizaster! mbwa ni hatare mnyama mkali yeye na mme wake original ni wauza sembe ile hatare!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad