Web

Mbwana Samatta Afanya Mambo Tena Genk Usiku wa Jana....Tazama Hapa Video ya Goli Alilofunga

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta Usiku wa Jana ameifungia goli la 3 klabu ya krc_genk_ katika ushindi wao 4-0 dhidi ya Oostende

Tazama Hapa Goli Alilofunga..


Mbwana Samata Goal HD - Genk 3-0 Oostende - 08... by Bayeo

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera bwa'mdogo, Mungu akuzidishie, kumbuka alivyokwambia baba'ko, usiguse mademu utadumu mchezoni miaka mingi

    ReplyDelete

Top Post Ad