Naomba mnisaidie kidogo,
Ni nani hasa aliyekuwa anakula hii mishahara hewa, ni wafanyakazi waliofukuzwa /kuachishwa kazi/kufariki nk na fedha kuendelea kuingia kwenye akaunti zao au viongozi ambao walikuwa wanajua fulani amefariki /amestaafu n.k na kujipakulia hiyo mishahara?
Je,mbinu gani ilikuwa inatumika?
1.Kuna (penseni) za watu waliokwisha fariki lakini cha ajabu zilikuwa zinaendelea kuletwa,na wengi walikuwa wanachukulia posta wachache bank
ReplyDelete2.Kuna wengine zilikuwa zinakutwa kwenye a/c na ndugu zao hasa kwa wale ambao walikuwa wanapeana password na wake/waume zao hivyo kupelekea hata mtu akifa bado hela zinaingia,na kawaida watu wa bank kama hukupeleka vielelezo vya kifo hawawezi kufunga ac.
3.Wengine makusudi tu hasa watu wanaoandaa mishahara wanaweka majina wanayoyajua na kujilipa.