Na vichaa (wagonjwa wa akili)hivi kweli Tanzania tumeshindwa kuwashika vichaa na kuwaweka sehemu husika (maalum)na badala yake wanazagaa mitaani na wengine kudhuru watu hasa watoto wadogo?
Mh. Mkuu wa Mkoa ameanza kazi nzuri ya kurudisha sanity ktk jiji hili! Lakini itakuwa vizuri kama atakaa na viongozi wa jiji na wizara husika wakubaliane na kupanga marekebisho ya jiji yawe vipi na yaende vipi. A plan is needed! Barabara zirudi, maeneo ya wazi yarudi, ambapo hakuna mpango (hapajapimwa) pawekwe mpango n.k. Hayo ni lazima. Wapi watakaobomolewa, wapo watakao fidiwa, wapi ambao hawatafidiwa, nk. Lakini hayo lazima yafanyike!!!
Na vichaa (wagonjwa wa akili)hivi kweli Tanzania tumeshindwa kuwashika vichaa na kuwaweka sehemu husika (maalum)na badala yake wanazagaa mitaani na wengine kudhuru watu hasa watoto wadogo?
ReplyDeleteMh. Mkuu wa Mkoa ameanza kazi nzuri ya kurudisha sanity ktk jiji hili! Lakini itakuwa vizuri kama atakaa na viongozi wa jiji na wizara husika wakubaliane na kupanga marekebisho ya jiji yawe vipi na yaende vipi. A plan is needed! Barabara zirudi, maeneo ya wazi yarudi, ambapo hakuna mpango (hapajapimwa) pawekwe mpango n.k. Hayo ni lazima. Wapi watakaobomolewa, wapo watakao fidiwa, wapi ambao hawatafidiwa, nk. Lakini hayo lazima yafanyike!!!
ReplyDelete