Msanii Mwigine wa Bongo Anayeteketea Kwa Madawa ya Kulevya Huyu Hapa....

Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa ngada.

Mlaaniwe wote mnaouza unga kuanzia nyie wenyewe na vizazi vyenu vyote.

..."kazi yangu ya dukanii aaahahh yaniweka matataniii wanao nirudisha nyuma wengi wao majiraniii"

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WALAANIWE wao tu..sio vizazi vyao..Huwenda miongoni mwa vizazi vyao wakawa bora zaidi kuliko hata wewe mwenyewe..pia na hao ni wa kuwaombea ili waachane na kazi hiyo chafu..hata ukiwalaani haitasaidia jamii,bali wao wataishia katika kuuza MADAWA yao na umauti utawakuta humo humo hali ya kuwa huku nyuma wameacha wameharibu the new generation(vijana wadogo tunaowategemea ktk maisha ya mbeleeni),,,Mwenyezi Mungu Awaongoe wote.

    ReplyDelete
  2. Mi siwalaumu wauza unga kwani vijana wenyewe ndo hujitakia kufikia Kama vijana tukiamua kuyajataa hawata pata pesa na kuua soko. Wasanii wenyewe ndo tatizo akishakua maarufu anataka kujaribu kila kitu

    ReplyDelete
    Replies
    1. apo umenena, drugs ni biashara ya ajabu sana kwani inafaida kubwa na kwa wauzaji kama akiondoka mmoja ktk mtaa flani basi mwingine anakuja chapu kuchukua nafasi soo ni ngumu kusema watu waache kuuza
      ila ni raisi kukemea watu wasijiingize ktk utumiaji wa drugs kwa kutoa elimu ktk familia na mashuleni pia

      Delete
  3. Nyie igeni tu kila kitu wanachofanya wamarekani basi nyie fanyeni tu maana sasa mbali ya mateja kuna midume kama mabinti hao ndio wengi zaidi ya mateja wanamme mzima unamkuta kajipamba kuliko demu kuanzia herini, bangili,kidani, dawa ya nyele na kucha anakwenda kutengenezwa saloon ati ndio kawosh mstaarabu na mateja nayo yakikosa unga yapo tayari kutoa tigo ili apone hii ndio new generation ulimwengu wa ishirini na moja

    ReplyDelete
  4. Ni kweli kabisa

    ReplyDelete
  5. Ni kweli kabisa umenena at 5:04 pm. mateja kwa kutoa tigo ndio usiseme kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa b` se hawawezi kufanya kazi yeyote kwani hawana nguvu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad