Mtoto Wa Gadner G Habash Ni Tishio Kwa Urembo (Picha)



Mtoto wa kike  wa mtangazaji  Gardner G Habash anayeitwa Karen ni moto wa kuotea mbali kwa urembo na mwonekano alionao.Ni mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mbeya.

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mhona wa kawaida sana

    ReplyDelete
  2. Ndugu zangu..je hii sawa kiubinadamu..privacy rather than advert..sijui ktk mila au ndiyo utamaduni...me i feel its offencive..yr comment pls

    ReplyDelete
  3. sababu ya kumuonyesha mtoto wako ni nini? ndio ni mzuri kama zari the boss lady ila sijajua sababu ya kumuonyesha humu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Gadner kaweka picha kama wanavyoweka picha zingine,na inapendeza,kiasi kwamba hata mimi siwezi kumuomba mapenzi kwa kuwa ni mtoto wa mwenzangu na nimemjua leo kupitia hii picha,acheni uswahili.

      Delete
    2. HIVI UMESHAWAHI KUMUONA ZARI ANA KWA ANA?AU UNAISHIA PICHA TUUUU?MIMI MFUPI LAKINI ANANIFIKIA KIUNONI,SURA YA KIZEE NI PICHA TUUU INSTA HANA UZURI KIVILEEEEEEEEEEEEEE

      Delete
  4. Biashara matangazo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ziko sehemu za kutangaza hiyo biashara unayowaza wewe na sio kwenye page yake.PUMBA..........

      Delete
  5. acheni ushamba na nyinyi wekeni humu mabinti zenu tuwajue tuwachangamkie we utaki mkwe!?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unasemaga nini mushamba?? Kweri wewe unaakirigi?? Timamu au mutoto wa mujini uhuni wa kuearisha taifa n'ira maadiri na kueneza famiri bila baba kuleta maadiri ktk nymba harafu watoro waishia ku balabalani omba omba na biashala zingine zza maajabu ajabu... Muwege watu wa mfano muzuli tanzania yetu

      Delete
  6. she is hot meeeen....I would like to hook wit her one day

    ReplyDelete
  7. She's really beautiful, woow

    ReplyDelete
  8. NA WEWE ANONM.WA 11,16 SIJUI UMETOKA WAPI HATA KISWAHILI HUJUI RUDI KWENU BURUNDI HUKO AU RWANDA USITUINGILIE NA MAMBO YETU YA KITANZANIA, UMECHAFUA HALI YA HEWA

    ReplyDelete
  9. MTOTO MZURI BWANA MM MZURI LAKINI TUMPE NA YEYE SIFA ZAKE

    ReplyDelete
  10. Mary mutonda hapo juu kwa akili zako unaona kuwa na watoto wengi ndo dili huna akili zingine, acha ushamba na mambo ya kizamani. Kumbuka kila kitu hapa duniani kinatokea kwa mipango na mapenzi ya Mungu na Mungu anayo sababu kwa kila jambo linalotokea.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad