Faizaally_ Diamond ni inspiration kwa kina baba wote wanao terekeza watoto wao ! Diamond Ni inspiration kwa single mothers wote wanao lea watoto peke yao ! Diamond ni inspiration kwa watoto wote wanao lelewa na single mothers - single mama tunajua tunapitia mangapi kuwapa watoto wetu mahitaji - wkt mwingine unaweza ukalala hata na mtu mtoto wako apate mahitaji ! NI UHALISIA...... Kwa hiyo MUACHENI DIAMOND ATAMSAMEHE BABA YAKE SIKU AKIAMUA ! SIO WKT MEDIA NA WANANCHI MNATAKA AU KWA SABABU YEYE ANATAKA - MAMA NASIBU KWANZA !!!! AND I LOVE IT! MUACHE APONDE RAHA NA MWANAE MAANA WAO NDIO WANAJUA WAMEPITIA MAMGAPI.... Na Hawa kina baba Diamond wako wengi wakome! waache kuterekeza watoto wao na kukatia tamaa mama zao ! MUACHENI BABA DIAMOND AKOME KIDOGO - ATASAMEHEWA DIAOMOND AKIJISIKIA YUKO TAYARI KUSAMEHE ...... single mothers tunapitia mengi hata sisi tuna tamani kusaidiwa kulea watoto na baba zao ! SINGLE MOTHERS MAMA DIAMOND AWE INSPIRATION KWETU...... mwenye kumsomesha mwanae amsomeshe- mwenye kumuendeleza kipaji amuendeleze na haijalishi unawezo kiasi gani kila mmoja afanye kwa uwezo wake - kuwa single mother sio mkosi wale kilema ni maisha tu na ndio Kama hivyo mnaona MUNGU ANATUBARIKI KWA NJIA TOFAUTI - LEO NAAMINI KUNA WENGI WANGETAMANI WAWE MAMA DIAMOND HATA WALIO KUWEPO KWENYE NDOA KUWA NA MTOTO KAMA DIAMOND SIO KITU KIDOGO - HONGERA MAMA NASIBU ! UKO JUU ! ...... sasa single mother watagini kina baba Diamond waambieni Kama hawa jirudi Na kutunza watoto baadae wakati tunakula bata Na watoto wetu ......! HATUTAKI KERO NDOGO NDOGO-Faiza Ally
Muacheni Baba Diamond Akome Kidogo ....Diamond Atamsamehe Siku Akijisikia Kumsamehe na Sio Kwa Wananchi Kutaka-Faiza Ally
8
April 01, 2016
Faiza Ally Ameongelea Kuhusu Diamond na Baba yake, Ameandika haya hapa Kwenye Ukurasa wake wa Instagram
Tags
hahahahahahahahahahahaha........safiii tu Faidha. Baba kwa nini ugomvi wako ww na mzazi mwenzio umexpense mtoto na kumtelekeza jamani???!!mm kwa kweli nilishasema jamii iache kufosi diamondi kumsamehe ama kufanya nn kwa baba yake kwani ugomvi wa baba yake na mama yake haukupaswa baba yake amtelekeze.......Diamond na mama yake wanajua tabu walizopitia mpaka hapo walipo wakiwa tandale wakati mzee yupo kkoo anakula na malaya wa mjini tu.Hata mungu nadhani hilo hawezi toa adhabu kwa Diamond au mama yake lakini ni fundisho kubwa sana kwa jamiiii hii ya leo hasa kwa wanaume wenye tabia kama hiyo ya kutelekeza watoto kisa ugomvi wake na mkewe.......ndo maana mkishazaa na kua wazaz hata kama hamjaoana heshimianeni....tunzianeni siri za ndani ili muweze kuwasiliana na kushirikiana pale mtoto anapokua na tatzo na muweze kulitatua kwa pamoja.....
ReplyDeleteWewe unaejiita faiza tafuta kazi ya kufanya acha kuzungumza ovyo soon utaomba pesa kwa sugu hata za kusuka shame on you
ReplyDeleteHakuna cha kumuonea huruma uyo dingi kama alikua anaponda raha peke yako basi na sasa hivi alie peke yake inaelekea alikua mtu wa raha sana utajiju toa usia kwa wanaume wenzio wenye tabia kama yako maana wapo wengi sana
ReplyDeleteFaiza kumbe wakati mwingine unakuwaga na akili, nimekupenda bure, hebu kunywa soda moja apo kwa mangi nakuja kulipa. Diamond ukijisikia kumsamehe huyu mzee msamehe kwa kupenda wewe sio watu. Kula Bata na mama nasibu Wako mwaya. Na mkome nyie mababa mnaotelekeza wanenu kwa kisingizio cha ugomvi Wenu wazazi.
ReplyDeleteBaba Diamond kama ni kwel uliwatelekeza Diamond na mama yake bora ukae kimya tu uvune ulichopanda
ReplyDeleteNo huo sio ushauri rudi kwa baba yako haraka sana dai
ReplyDeleteKama alikua hana uwezo je akaibe inategemea na uwezo sio baba wote wanauwezo saa nyengine wamama wanauwezo zaidi ya wababa
ReplyDeleteSio kila mwanamume mwenye kuzalisha ni baba. Baba ni yule anaekumbuka wajibu wake wa malezi ya mtoto wake. Kukua kwa amani furaha na upendo. Huyo ndio baba. Sio baba kiraka. Mtoto nae ni binadam anastahili kupendwa akikua na akawa na maisha yake baba kiraka mbiooo hizooo tiii eti wewe ni mtoto wangu hmmm hata aibu jitu alioni. Muda mwengine mtoto umtafuta baba kwa mapenzi yake tu. Ili nae amshuhudie biological baba yake akisha muona maamuzi anayomwenyewe. Kuendelea nae au kuto endelea nae. Mtoto anastahili atunzwe,apendwe,ashimiwe ajaliwe na jamii inayomzunguka. Ili aweze kuwa binadam mwema. Na upendo ujengeka kwa wale wa karibu. Kama alizungukwa na mama tu muda wote ndio upendo wake ulikolala. Sio kwa baba. Baba hakutekeleza wajibu wake kiufasaha sasa shida ya nini? Ingekuwa baba kamlea vizuri kiufasaha alafu mtoto akabwaga haaa hapo kweli. Je angekuwa chokolaaa huyo baba angeangaika sasa kama anavyomuangaikia adaidiwe. Wakati yeye na mtoto ni mdogo ajui kujitafutia wala hakushugulika nae hajui amekula nini. Amevaa nini au ananjaa au yu mgonjwa baba hana time. Hamna wa kumuhumu hapo. Baba ajishushe na amuombe samahani na mtoto atajua jinsi gani ya kuweka ukaribu. Lakini si kivile upendo. Upo kwa mama. Aliyekuwa anamuona karibia siku zote za utoto wake
ReplyDelete