Mwanamuziki Diamond Platnumz Atangaza Nafasi za Kazi....

Katika hali ya kuendelea kusaidia vijana wenzetu ambao bado wapo mtaani... Ndugu zangu kuna nafasi za kazi hapa @wcb_wasafi ...tunauhitaji wa:
1. Videographer mweye uwezo wa kushoot na kuedit...
2. Kijana Mwenye taaluma nzuri ya IT/ Socila Media Adminstrator Mwenye uwezo wa kuandika na Kuzungumza kingereza fasaha....
3. Secretary wa kike, Mwenye uwezo wa Kuandika Kiswahili na kingereza fasaha.... sio vingereza vya "baby i love you" au "Chilling home" mara "Less wig on fleek" sjui hapana, Fasaha.... wasiliana nasi kwa namba zetu +255757339215 au fika katika ofisi zetu zilizopo Sinza
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hv bosi wenu kingereza chake kimeny9oka kingereza sio lugha yetu ya taifa mpeni kipaumbele mwenye uelewa na kingereza cha wastani unataka kingereza fasaha nenda england kule ndo lugha yao maana hata marekani kingereza chao si sahihi mpooo nyie wasafi my foot

    ReplyDelete
  2. Halafu sio less wig ni lace wig...mtoa tangazo mwenyewe zerooo ata mu interview nani haahah

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad