Hatimaye Mr blue kaachana na ukapera kaamua kumuoa mama watoto wake Wyder!!! Hongera sana Mr Blue kwa hatua uliyofikia!!!
Mr blue simbaaa akiwa na mke wake halali kabisaaa Wyder !!! Hakika Blue nayeye ameingia katika list ya wasanii mifano ya kuigwa katika maswala ya ndoa.. tupia neno la kumtakia kheri katika maisha ya ndoa...!!!bado baba Tiffah
Hongera mwayego
ReplyDeleteMabruki Mabruki hongera kwa kukamilisha nusu ya dini uislam ndo unataka hivyo mungu aijaze baraka ndoa yenu inshalla
ReplyDeleteMmmh,kweli nusu uislam maana manyonyo nje sio uislam.
DeleteAti walizaa kwanza halafu ndio wanaoana hii sio Uislamu.ni U europe.
DeleteHongera mke wake mzur mashallah ni bora atuliee!!!malaya wa mjini kaeni mbalii now maana hamuishi kujipendekeza na kuharibu ndoa mshindwe na mlegee...
ReplyDeleteHONGERA SANA MR BLUE
ReplyDeleteHongera sana!
ReplyDeleteMimi nilizani MR Bru kashaoa tangu zamani, si yeye mwenyewe Mr blu alisema tangu miaka miwili iliyopita kuwa maisha katika ndoa ni mazuri sana, au wabongo uaga mnasahau kiurahisi sana
ReplyDeleteilikuwa ni film tu.Si unajua wasanii
DeleteHe anakimimba tena eehhh,kabayser unatishaa
ReplyDeleteHongera bro .sasa utaweka money.sio unajua kupata na kutumia money
ReplyDeleteAise... Nimefurahi Sana kwa kulikumbuka hili na kukamilisha nusu ya dini.. Tunamuomba Allah akujalieni maisha mema na kudumisha ndoa yenu iwe ya kheri na haraka.. Ameen na wasanii wenzetu wengine pia awajaalie wanaotaka kuoa na dada zetu wanaotaka kuolewa
ReplyDelete