Mwanamuziki MR BLUE Akata Shauri..Aamua Kumuoa Kabisa Mama wa Mtoto Wake...Picha

Hatimaye Mr blue kaachana na ukapera kaamua kumuoa mama watoto wake Wyder!!! Hongera sana Mr Blue kwa hatua uliyofikia!!!

Mr blue simbaaa akiwa na mke wake halali kabisaaa Wyder !!! Hakika Blue nayeye ameingia katika list ya wasanii mifano ya kuigwa katika maswala ya ndoa.. tupia neno la kumtakia kheri katika maisha ya ndoa...!!!bado baba Tiffah 


Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera mwayego

    ReplyDelete
  2. Mabruki Mabruki hongera kwa kukamilisha nusu ya dini uislam ndo unataka hivyo mungu aijaze baraka ndoa yenu inshalla

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmmh,kweli nusu uislam maana manyonyo nje sio uislam.

      Delete
    2. Ati walizaa kwanza halafu ndio wanaoana hii sio Uislamu.ni U europe.

      Delete
  3. Hongera mke wake mzur mashallah ni bora atuliee!!!malaya wa mjini kaeni mbalii now maana hamuishi kujipendekeza na kuharibu ndoa mshindwe na mlegee...

    ReplyDelete
  4. HONGERA SANA MR BLUE

    ReplyDelete
  5. Hongera sana!

    ReplyDelete
  6. Mimi nilizani MR Bru kashaoa tangu zamani, si yeye mwenyewe Mr blu alisema tangu miaka miwili iliyopita kuwa maisha katika ndoa ni mazuri sana, au wabongo uaga mnasahau kiurahisi sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. ilikuwa ni film tu.Si unajua wasanii

      Delete
  7. He anakimimba tena eehhh,kabayser unatishaa

    ReplyDelete
  8. Hongera bro .sasa utaweka money.sio unajua kupata na kutumia money

    ReplyDelete
  9. Aise... Nimefurahi Sana kwa kulikumbuka hili na kukamilisha nusu ya dini.. Tunamuomba Allah akujalieni maisha mema na kudumisha ndoa yenu iwe ya kheri na haraka.. Ameen na wasanii wenzetu wengine pia awajaalie wanaotaka kuoa na dada zetu wanaotaka kuolewa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad