Web

Mwimbaji Ben Paul Apata Mtoto wa Kiume..Mwenyewe Aficha ila Mama Mtoto Aweka Picha Mtandaoni

Top Post Ad

Ni kwasababu tumebaini kuwa mfalme huyo wa R&B kama anavyojiita ni baba wa mtoto wa kiume mwenye miezi kadhaa sasa!

Muimbaji huyo wa ‘Ningefanyaje’ amepiga kimya lakini sio rahisi kwa mama aliyejifungua kuificha furaha ya kupata mtoto. Mchumba wa Ben Pol, Latifa Mohamed aka Queen Tipha aliyewahi kuwa mshindi wa pili kwenye Miss Tanzania 2013 ametusogeza karibu na mtoto wao. Tazama picha za Tipha na mwanae

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.