Mzee Mengi na Jacqueline Maisha ni Motomoto...Wakubwa Wanafaidi Sana

Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule" anakaa tu dukani siku nzima.

Bata mara moja moja kama hivi si haba,unakula bata na watoto na wife hapa na pale..Mambo ya kuja Dsm kwa kupanda fuso peleka huko...


Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NI KWELI NDIO MATUMIZI SAHIHI YA PESA. WATU WENGINE MIPESA KIBAO LAKINI WAKE ZAO HATA NDEGE HAWAPANDI NI NDANI TU DUKANI KUTWA NZIMA.

    ReplyDelete
  2. Eeeh na hana hofu na maisha kwa kuwa amekuwa akizitafuta hizo pesa kihalali na zinanoga kuzitumia,tofauti na mafisadi saa hizi wanasikilizia upepo kwanza na wale wenzangu na mie waliokuwa wanachota kila siku wako chaliiiiiiiiiiii.HARAMU MBAYA SANA

    ReplyDelete
  3. Udaku hii story gains Mantiki..mengi ndiyo nani so Mfanya biashara..sisi hatutopendelea yaya kuacha kulipa kodi..kwake tutafika ru..aanze kujipanga....Vyombo vyake TRA itabidi tuvihakiki manake hawa majipu Ni lafiki zake..isije kuwa Likuwa anakula nao.... Hii ya JPJM HAIONI HAYA...MIANYA MINGI TUTAIZIBA KAMA SI YOTE..NIA NA LENGO NI KUZIBA YOTEEEE...TUKO NJIANI...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad