Nani wa Kutumbua Jipu Kwenye Wizara ya Ujenzi iliyokuwa Chini ya Rais Magufuli Wakati Huwo Akiwa Waziri?

Nani wa kutumbua jipu kwenye Wizara ya ujenzi iliyokuwa Chini ya Rais Magufuli wakati huwo akiwa Waziri... Ripoti ya Mkaguzi wa Serikali CAG imeonyesha ubadhirifu Mkubwa kwenye Wizara hiyo kuliko Wizara yeyote ile.

Watanzania mtapa kujua mengi nyakati muhimu zikifika, endeleeni na mahaba ya utamu wa karanga...

Gari Bovu haliwezi kuwa jipya kwa kutafuta Dereva mpya. Mabadiliko ya Taifa hili ni CCM kuondoka Madarakani.

Ndiyo maana Wamehakikisha Bunge halionyeshwi live kwakuwa wanajua Uchafu waliyoufanya utawekwa wazi na Watanzania hawatKuwa na habari nao kwakuwa watajua ukweli...

Kwanini hutaki Bunge lionyeshwe live kama wewe ni msafi? Na unapenda uwazi? TURUDISHIE BUNGE LETU LIVE TUWAONYESHE WATANZANIA MADUDU WANAVYODANGANYWA

Chanzo:Henry Kilewo

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe Henry Kilewo ni kibaraka na wanaokutuma mnajidanganya kuwaaminisha watanzania kwa unafiki wa kisiasa ni upuuzi usio kiasi mtasubiri sana CCM kuitoa madarakani kwa gia za kitoto msahau na hao wanaokutuma ni majipu kama wewe ulivyo subirini kutumbuliwa Magufuli Aluta continua fagia takataka zote irudi ktk iwe nafuu wanyonge

    ReplyDelete
  2. Demokrasi sisi wabongo baado kabisa hatujui kitumia bora hata hili blog ya udaku ingefungiwa kama ilivyokuwa yamefungiwa matangazo ya Bunge ktk TV ni vituko tuu

    ReplyDelete
  3. Neno hili Watanzania

    ReplyDelete
  4. Hakuna tatizo ndio kashtuka atumbue kadri awezavyo bora yeye amethubutu. JPM kaza kamba mungu akutunze.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naamini JPJM ngekuwa jipu wapinzani walivyo na kiherehere wangemtumbua zamani tena bila ganzi au kusubiri liive.
      Kashika nyazifa kubwa na kwa kipindi kirefu,lakini maisha yake ni ya kawaida,si kazi hata huyo Henry Kileo anamzidi.
      Kaza buti JPJM,tuko waTZ ambalo kila leo tunakuombea.

      Delete
  5. kumbe anatoa banzi kwenye jicho la mwenzie kwake kuna boriti? haya endeleeni kutuletea habari tujue unafiki unavyoendeleea. tihetihetihe kesi ya nyani hakimu lingedere wanamwita bwege!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad