Picha: TRA Wanaipiga Mnada Range Rover Evoque ya Wema Sepetu

Unaikumbuka ile Range Rover Evoque 504 ambayo Wema Sepetu alijizawadia kwenye birthday yake mwaka jana?

Well, inaweza kuwa yako iwapo unaweza kuwa na takriban shilingi milioni 200 za kumwaga sababu TRA wanaipiga mnada!

Picha hapo juu Range Rover Evoque ya Wema Sepetu ikiwa kwenye yard za TRA ikipigwa mnada

TRA wanaishikilia gari hiyo kwasababu iliingizwa nchini bila kulipiwa kodi na kwakuwa ushuru wake ni takriban nusu ya gharama yake, Wema ameshindwa kuikomboa.

Kuna tetesi ziliwahi kuandikwa kuwa gari hilo hata hivyo alipewa kama zawadi na pedeshee wa Kongo anayedaiwa pia kuwahi kuwa na uhusiano na Jacqueline Wolper.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ASANTE MAGUFULI,KWELI UMEBANA KILA KONA MAANA KWA SIKU ZA NYUMA WEMA ASINGESHINDWA KUKOMBOA HIYO RANGE.

    ReplyDelete
  2. Loo bi michirizi. Mambo yanazidi kwenda kombo. Kwani yule mwanae wa kufikia si ana vijisenti vya big brother !?? Kashindwa kumstiri bb bomba kwa hili ?

    ReplyDelete
  3. Wema he he yaani ni aibu tupu, nyumba umefukuzwa ilikuwa nyumba feki, na gari nalo feki, kama utashindana na mrembo Zari utashindana naye sana, Zari hana vitu feki, tena Diamond yuko Ulaya sasa hivi pia atakuja hapa Scandinavia nitaenda kumuona Diamond, na pia Diamond hana vitu feki, mambo yamekuendea ndivyo sivyo Wema watu wa kuwalaumu ni meneja wako, na team Wema wanakupa ushauri mbovu sana. Na yule unayemuita Toto kweli ni mtoto kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi nataka taarifa ya mnada lini..ntabook flight kuja kulinunua kama kweli halafu ntanzawadia wema tena... Na lipstick ya Kiss 💋 tuta ifanyia advert hapa ulaya babu kubwa then mtamjua Mtoto WA marehemu Mzee Sepetu Ni nani... Hata Ni maisha tu

      Delete
  4. Zari akalee watoto,kutwaaa kiguu na njia kumlinda Dai,au hajiamini nini?

    ReplyDelete
  5. yah ni tabia ya watanzania kufurahi mtu apatapo tatizo! ndio maana umasikini unanuka kama gari la taka.

    ReplyDelete
  6. MIMI NINGEMSHAURI UNAJUWA MALI YA UMALAYA SIKU ZOTE SIO MALI YAKO HATA SIKU MOJA LAZIMA ZITALUDI KWAO MIMI MSHAURI ATUMIE NGUVU ZAKE MWENYEWE ATAPATA CHAKE LAKINI KILA MWENYE MUME ALALAMIKA ALAFU WENGINE MI WANA NDO ZAWO UNACHUKUWA WAWUME ZAO MUNGU ANAKULANI TUMIA NGUVU ZAKO UTAFANIKIWA SANA NGUDU YANGU TUACHE USHABIKI WAKATI AKIPATA MATATIZO TUNASHINDWA KUMUSAIDIA TUMIA KIDOGO ULICHONACHO LAKINI KITAKULETEA MAFANIKIO BADAYE TATIZO UNATEGEMEA SANA WANAUME MALAYA AFANIKIWE HATA SIKU MOJA MIMI NAKUPENDA SANA SIO KWAMBA NAMKANDIA KILA MTU ANAJUWA KUWA WEMA NI MALAYA ALAFU WANA KUPONZA NI TEAM WEMA OKIPATA MATATIZO MBONA MNASHINDWA KUMSAIDIA

    ReplyDelete
  7. sijawahi kuona watu wanafiki kama watanzania nani asiye MALAYA? sema tu tukiolewa au kuoa watu wanaacha acheni kumshutumu mtu kupita kiasi tupendane jamani roho mbaya hazitatufikisha popote mtz yupo tayari kushabikia mgeni yaani foreigner kuliko mtz mwenzake tubadilike jamani mdau hapo juu nimempenda bure anasema atapanda ndege aje alinunue ukikaa nje unabadilika mno unakuwa tofauti sana na watz tupeane mawazo mazuri tukatazane mabaya na wote tuwe na hofu ya mungu maana ya leo tumeyajua ya kesho ni siri ya muumba .

    ReplyDelete
  8. Nducu zangu.. Naomba taarifa ya mnada iwekwe atleast 10-15 Days in advance with time and location pls..manake flights needs to ne booked in advance Wema deserves better!

    ReplyDelete
  9. Naomba taarifa ya mnada au ni Kama unakuja Lipa Tra unachukua gari na kumsajilia mtoto wa marehemu Mzee Sepetu naomba hiyi taarifa... Can sbody from TtRA confirm This pls... After conf i Will do m'y arrangment gari itarudi kwa wema tuiuuu

    ReplyDelete
  10. simchukii wema lakini sipendi mtu kujikweza hasa anapokua na pesa ya mboga tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad