Rais Magufuli Kusafiri nje ya nchi Kwa Mara ya Kwanza leo, Anaondoka na Gari sio Ndege

Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, April 5 2016 jina lake limerudi kwenye headlines kwa mara nyingine tena. Rais Magufuli amerudi kwenye headlines baada ya kukubali mwaliko wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, hivyo atafanya ziara ya siku mbili Jumatano na Alhamisi.

Stori kutoka wizara ya mambo ya nje zinaeleza kuwa Rais Magufuli pamoja na Rais Kagame watafungua daraja la kimataifa la Rusumo linaounganisha mpaka wa Tanzania na Rwanda na kuzindua ushirikiano wa huduma za kituo cha pamoja.Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari na kusomwa katika television za Tanzania Rais Magufuli atasafiri kwa gari.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Saf sana rais, ila huyo jamaa Kagame uwe nae makin laa sivyo utajikut pabay kwan jamaa huw nayangin nyum ya pazia asij akakuingiz mkenge. Ukumbuk urafik wak na Nkurunziz kwa sasa uko wapi? ni mtu mweny kujionesh kwamb anauhusian na wat ila nyum yak kuna kit anavizia sasa rais Magufuli uwe makin kweny urafik wenu usij ukapew ugonjw usiopona. Kagam niliwahi kumpend, na huwa napend hotub zak na jins anajib maswal anay ulizw ila tabia yak ya kutak kujifany mbabe ndio sipend na kuwa anavurug aman ya inch zingin. Na akiacan nahii afrik masharik itakua na amani maendeleo na uchumi bor baran. Alish fany meng Rwand sasa afikirie mara pil kuhus aman ya inch jiran aachan na kuvurug kwan mwish wasik inawez ikamgeukia.

    ReplyDelete
  2. Mmmh!mbona naogopa jamani mie mkuu kusafiri kwa gari jamani?
    Dah,Mungu awatangulie kwenye safari yenu,MUFUNIKWE KWA DAMU YA YEYE UNAYEMUAMINI KUWA NDIYE ALIYE MWOKOZI WAKO,YESU KRISTO.

    ReplyDelete
  3. Nimekuwa na raha kumuona presidaaa wa TZ
    mwenyewe anasema hapa kazi tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad