
Rais Magufuli asema watumishi hewa wamejaa mpaka Ikulu, Ofisi ya Waziri mkuu, Majeshini etc.Amuagiza Katibu mkuu kiongozi kuunda "task force" yenye ulinzi maalumu ku-deal na watumishi hewa.10% ya mishahara yote nchini hulipwa kwa watumishi hewa.Serikali yapoteza Tshs Billioni 54 kwa mwezi, sawa na zaidi ya Billioni 648 kwa mwaka kulipa mishahara ya watumishi hewa.
Hayo ndio matunda ya uhuru mtu akipata kazi ya ofisini tu kosa ndio lazima awe mwizi bado safari ni ndefu sana
ReplyDelete