RAY C Afunguka Kuhusu Vita vya Madawa ya Kulevya..Adai Vijana Wengi Hawapo Tayari Kuingia Katika Vita Hiyo...

Kupitia Account yake ya Instgram Ray C aliandika haya na kuwataka vijana wa Tanzania kusimama mstari wa mbele kupiga vita matumizi ya dawa hizo kwani kuna watu wengi ambao hawapo tayari kuingia kwenye vita hiyo.

rayc1982 Ifike hatua vijana na watanzania mpende maendeleo na kuelimisha jamii vitu vyenye tija Kwa mstakabari wa taifa letu,wengine tumikuwa victim katika drugs and drug abuse ni matumaini yangu sasa watanzania wawe front line kusupport na kupiga vita madawa hayo. cha ajabu wengi wao hawako willing katika hilo Kwahiyo vijana wenzangu nawaasa kupiga vita madawa ya kulevya Tanzania yatamaliza kizazi bora cha watanzania ni wakati mwafaka kila mmoja wetu akachukua hatua kuanzia pale alipo,katika makazi yake,ama mashuleni,ama maofisini,ama mashambani,ama mahosipitalini..popote pale yatumikapo kupinga kwanguvu zote...nashangazwa unapo poteza muda wako kupost wasted things katika Social Media at kwamba Fulani kasema hivi kafanya vile! You do this for the benefit of whom!? Its shame...Tanzania bira madawa inawezekana chukua hatua na njoo upate tiba mwananyamala au mhimbili you wonna update.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ray c kwa kujibaraguza jamani loo! we si juzi tu umezima na madawa ya kulevya na yule teja mwenzio ambaye amekurudisha kwenye uteja sijui ndio bwana yako anaitwa frank.... hiyo vita unaipigaje na kutumia hujaacha... we jidanganye tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad