SAKATA LA LUGUMI : Rais alishawahi kusema ukitajwa kwa rushwa unaondoka hapo hapo hakuna kuunda tume

Wakati wa hotuba yake Mh Rais aliwahi kusema kua mtimishi wa umma akitajwa kwa ufisadi tayari ana doa atawajibishwa hapo hapo hakuna mambo kuunda tume.Sasa waziri kitwanga anatajwa sana kua na maslahi kwenye hili sakata, sasa kinachosubiriwa ni nini?


Uchunguzi Mara nyingi ni kujiridhisha na uhusika wa mtu katika sakata flani ili kukwepa mishale ya kisheria maana kumshutumu mtu bila ushahidi mwisho wa Siku ataidai haki yake Mahakamani.Kuunda tume ni kuujua ukweli wa jambo na ikithibitika ni kweli basi mtu achukuliwe hatua za kisheri bila kumuonea haya mtu.

Waziri kitwanga akae pembeni kupisha uchunguzi maana kampuni zake zimetajwa na kuunganishwa na mnufaika mkuu kampuni ya LUGUMI.Ni swali la kijiuliza ni kwanini mtu anakua waziri katika wizara ambayo tayari anafanya biashara nayo? hivi hakuna mgongano wa kimaslahi hapa? Sheria ya maadili ya utumishi wa umma inasemaje? Kiukweli Kitwanga mpaka sasa kwa maoni yangu hatakiwi kua waziri wa mambo ya ndani,kama sivyo basi ni bora kumhamisha wizara.Kampuni zake kuhusishwa kufanya biashara ndani ya wizara hiyo tayari ni tatizo kwake.

Chanzo:Jamii Forums

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JPJM una upeo wa kisasa! Picha unayoiangalia its a very wide look. Wewe unava viatu vyetu mlala hoi.( umejiweka katika hali halisi ya Mtanzania wa kawaida).. John Pombe. najiuliza kwa nini tulikunyima hii nafasi pale tu ulipo dhihiri na kudhihirisha umahiri wako!!! Naomba kama tunaweza kubadilisha hii katiba yetu, kwa mtu kama wewe ni bora tupeleke muswada katika bunge letu la Jamuhuri ya muungano ( third term kwa matakwa ya wananchi) khasa kwa mtu kama wewe najua utakuwa na maadui wengi lakini nasema sisi wananchi tumeiona Nia yako ni Njema na Fikra zako za Ubunifu (Innovation) ni Nzuri na Uwezo wako unaridhisha tunakuombea Afya Nzuri Kwa Mola wetu akuweke. na uendelee kuleta maendeleo bila kujali Siasa... ( Wanotaka siasa watafute vyama na wakae navyo) na im very please with your Managerial skills are of no Doubt.( You have proved asa field player rather than kungoja habari uletewe) your Decision are timely. Achievement Managment is what you are preaching and want to attain...Evaluation of Employees of Government parastatals and serving the Wananchi are going to be on Quarterly... to enable the rapid progress for the country and its achievers..... Naomba tupeleke huuu muswada Bungeni magufuli we need you for at least 15 yeras 3 Terms on exceptional CASE..

    ReplyDelete
  2. kufukuzwa sio suluhu wakati kashatupiga chetu......huyo akamatwe na afirisiwe kufidia hiyo hasara alotusababishia ndo game itakua fair hapo.

    ReplyDelete
  3. Kweli mdhungu nakuunga mkono

    ReplyDelete
  4. YAANI HATA MIMI NATAMANI POMBE AONGOZE KWA MIAKA 15 NA SIO 10 MAANA YEYE SI MWANA SIASA BALI NI MTENDAJI. HAKUNA MTU ASIYE NA MAPUNGUFU DUNIANI HATA YEYE ANA MAPUNUFU YAKE LAKINI KWA HII NJI WATU WALIVOKUA WAKIGAWANA PESA NI BORA AENDELEE TU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad