Shamsa Ford: Simtaki Nay wa Mitego!

Staa wa filamu Tanzania Shamsa Ford amesafisha hewa baada ya kuwepo kwa uvumi wa yeye na Nay wa Mitego kutamaniana kurudisha penzi lao.

Shamsa alifunguka yote hayo baada ya vyombo kadhaa vya habari na mitandao tofauti tofuti ya kijamii kuripoti kuwa Nay katika moja ya mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni alisema kuwa anatamani kurudiana na Shamsa Ford, kisha baadae ikadaiwa kuwa Shamsa naye amesema yuko tayari kurudiana na Nay, Shamsa alikanusha vikali uvumi huu.

akizungumza na eNewz Shamsa alisema kuwa “Mimi siwezi kurudiana na Nay na kwasasa nina mpenzi wangu ninayempenda, kwahiyo Nay aendelee tu na maisha yake asitake kuniharibia mahusiano yangu, lakini kwa kuendelea kunisifu kwa mazuri hata baada ya kuachana, ninamshukuru na ninafurahi kwa hilo, lakini si zaidi ya hapo”.

eatv.tv

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani waandishi mnapitiliza sasa,fyuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  2. hahahahA!! Hata ukimkataa, alishakufunua, akakuvua chupi, huna jipya....bongo movie hamjitambui kabisa, nakumbuka Nay aliwabonda sana kwenye ule wimbo wake kwamba 'makahaba wenye viwango wapo bongo movie', kisha mtu huyohuyo anakutongoza wewe wa bongo movie, kumdhihirishia kwamba ni kweli aloyaimba, unakubali kumpa uchi wako,,,,,,anataka tena, unajishaua......hovyooooooo UMEMPA, KAMPE TENA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad