Sikumjua Nay wa Mitego ni mtu wa Aina Gani ila Baada ya Kutoka Naye Kimapenzi Nikajua - Shamsa Ford

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa moja ya sababu yeye kuachana na mpenzi wake Nay wa Mitego ni kutokana na ukweli kwamba yeye hakutambua toka mwanzo kuwa msanii huyo ni mtu wa namna gani.

Akizungumza kwenye kipindi cha Enews Shamsa Ford anasema wakati anaanza kutoka na Nay wa Mitego hakutambua ni mtu wa namna gani ndiyo maana aliweza kuanza naye mahusiano lakini kadili siku zilivyokuwa sikienda akagundua kuwa wana tofauti kubwa kwani tabia zao zilikuwa zikipishana sana.

Shamsa Ford alizidi kueleza kuwa awali alikuwa anaficha kama wanatoka kimapenzi na msanii huyo kutokana na ukweli kwamba kila mmoja alikuwa hana uhakika na mwenzake ndiyo maana walikuwa wanaitana "Cousin" ili hali wao ndiyo walikuwa wanajua ukweli kwamba ni wapenzi.

Mbali na hilo Shamsa Ford alisema baadaye aligundua kuwa akiwa ni mshikaji tu na Nay wa Mitego wanakuwa wanaelewana zaidi kuliko kuwa wapenzi ndiyo maana walifikia hatua kuachana na kuwa washikaji. Kwa sasa anasema amepata mpenzi mwingine ambaye ana sifa zaidi na wanapendana sana.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tushakuchoka we kima khaaa kila siku ney ney hv hata huyo mwanaume wako mpya hachoki kusikia story za mwanaume wako wa zaman kwan kila swali linalomuhusu lazima ujibu khaaaa bongo mavi bwana

    ReplyDelete
  2. Yaaani kwani lazima kila siku umtaje uyo ney si uwakomeshe awo waandishi kama unampenda huyo ney si umwambie mnaudhi sana

    ReplyDelete
  3. malaya tuu huyu dada nae mtaishia kulea watoto wa baba tofauti na kufanywa kifaa cha kuzinia tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad