'Sikupendi wala Sikuzimii Marekani..Nimenunua Nyumba South Africa'- Diamond Platnumz

Msanii Diamond Platnumz amefunguka kuhusu suala la yeye kutonunua nyumba nchini Marekani kama wasanii wenzake wakubwa wa Afrika wanavyofanya.

Diamonda amefunguka hilo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kuwa haoni umuhimu wa yeye kununua nyumba Marekani, tofauti na alivyonunua Afrika Kusini, kwani kule ilimlazimu.

“Nna nyumba South Africa kwa sababu nina familia South Africa kwa hiyo ni lazima ninunue nyumba south Africa, lakini sina sababu ya kusema ninunue nyumba Marekani, ninunue nyumba Marekani kwa sababu gani, kwanza sipapendi, uongozi unajua kabisa”, alisema Diamond.
Pia Diamond aliweka wazi kuwa kununua nyumba Marekani kwake hakuna faida, ni heri awe na kijiji cha nyumba Tandale au Mwananyamala, lakini si Marekani.

“Nyumba sio hela nyingi dola laki mbili kama milioni mia nne unanunua nyumba, so ni matakwa ya mtu mwenyewe, sasa usitake kununua nyumba Marekani wakati trip zako za kwenda Marekani ni chache, usitake kuonekana tu una mashauzi, mara kumi milioni 500 ukanunua nyumba pale Tandale karibuni 10 ukapost nna kijiji Tandale ukazipangisha ukaingiza hela kuliko Marekani”, alisema Diamond.

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata kam sik shabik wako hiyo kauli naipend na kama utakuwa na fikra na matamshi hay bas nawez kuwa shabik wak. Honger kwa kuw na fikra nzur big up.

    ReplyDelete
  2. Big up kijana, ndo matunda ya kujituma hayo

    ReplyDelete
  3. mbona husemi Rommy kabaka sweden??

    ReplyDelete
  4. tour iliwatokea puani. kumbe mlienda na nyege za kubaka madem. ndo maana bibi kizee alilala chumba cha peke yake. siri njeeeeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  5. Sizitaki hizi mbichi

    ReplyDelete
  6. huna family dai. una mtoto wa kusingiziwa umemuacha wapi rommy mbona kila mtu karudi kivyake ili watz wasijue mlichokifanya sweden? hamna haya. kiki nyingiiii kumbe wabakaki tena mbele ya zari aliekuwa anajidai anapendwa na mtoto kuzaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sawa kama Dai hana familia basi tunakupa wewe akina Zarina na Lattifa wawe wako!

      Delete
  7. utajuta na uongo Domo ya kwenu umeyaficha eeh, ulifikiri hatutojua WABAKAJI WAKUBWA ndo maana ukavaa na kipini kabisa uonekane chakula cha wasweed.

    ReplyDelete
  8. MLIONDOKA KWA MBWEMBWE. MMERUDI KILA MTU KIVYAKE MMEONA MMEFICHA SIRI MAUMIVU ANAYO NANI? WEMA AU DOMO NA ROMMY. FAMILY MY ASSSS.

    ReplyDelete
  9. ubuyuuu. mmebaka sweden mmekaa kimya ili watu wasijue. toa basi maneno ya shobo Dai. ingekuwa wengine ungeshaimba na nyimbo kabisaa. unajisafisha eti una family us. unajifanya hujui kama kizee si chako na mtoto ni wa Katunzi.

    ReplyDelete
  10. Ataumbukaga huyu muuza madawa ya kulevya na babu tale wake

    ReplyDelete
    Replies
    1. MANYUMBU WAKUBWA MNATOKWA NA MIPOVU UTAFIKIRI MVUA YA MASIKA, MNATOA MINENO YA KISENGE WAKATI HATA KUWAJUA HAWAJUI, KWANI MAMA ZENU NDO WAMEBAKWA MPAKA MIPOVU IWATOKE???? KAMA AMEBAKA SI SHERIA IPO? NA HUYO UNAYEMWITA BIBI KIZEE WEWE UNAMZIDI NINI HASWA? JIANGALIENI KWANZA NYINYI KABLA HUJAMSEMA MWINZIYO

      Delete
  11. iko cku mtaumbuka na mnavyojifanya mnajua kila kitu. mungu ni wawote si wa Dai na family yake tuu.

    ReplyDelete
  12. Mlitamani awabake nyinyi nini msingizie mimba nyoooooo pumbafuuuuu mnatokwa na mimate kila sehemu mbona atujaona kwenye CNN kafueni chupi zenu zinanuka hapa

    ReplyDelete
  13. MANYUMBU NI MAMA YAKO ALOKUTOA MKUNDUNI Anony 4.31 PM. HUPENDI UKWELI KWAKUWA MABASHA ZAKO WAMEUMBUKA WATU WASHAJUA WAMEBAKA NA KUJITIA KIPINI CHA PUA. OPS! DAI ALIBAKWA HAJABAKA. UPO NYONYO!

    ReplyDelete
  14. he! ndo maana bi mavuzi karudi haraka us. na kujidai anampenda dai.kumbe wanabaka mbele yake na bado. ingekuwa ya wenzie wangeandika barua na nyimbo juu. ya kwao wameufyata nyuma. bi sandra kaona mambo kakaa kimya na yeye karudi kivyake.

    ReplyDelete
  15. rommy na dai wantabia mbaya sana, wakiwa nje ya nchi wanawadanganya mademu mwisho wanawabaka. sisi tunawajua vizuri. ila dai kajifanya kumchukua mama yake na kizee chake ili ajisafishe, kasahau alivyoenda uk.

    ReplyDelete
  16. Nyumba USA za hiyo bei lazima ni sehemu fulani hivi.Pia USA na south ni vitu viwili tofauti Diambond hawezi kununua nyumba USA kwasababu kigezo sio pesa tuu.
    Ila point ni kwamba unanunua ukihitaji na ikiwa kuna maana ya kununua.

    ReplyDelete
  17. Huyu naye kujidai kwingi huko south Africa kwenye anafamilia? Au hawala na mtoto nyumba USA hawezi nunua na hizo za Dola laki mbili ni zakawaida sana labda kama utaenda vijiji ya USA, kwanza kodi Yake utaiweza? USA Sio Tanzania mnajenga nyumba na property tax hamlipi, kajifunze maana ya familia acha kumzungusha Zari kama digidigi

    ReplyDelete
  18. nyie pigeni mikelele, mwenzenu anachanja mbuga... yuleeeee subiriri za kill awards

    ReplyDelete
  19. Maono yake ni mazuri. Ila Milioni 500 unaweza kununua nyumba karibuni 10 tandale kweli? Na Marekani upande upi unapata nyumba ya mil 400 yenye hadi ya kistar?

    ReplyDelete
  20. Siamin kama watanzania mnaweza kumtusi mtu kiasi hichi? Nn shida haswa ikiwa DAIMOND anafanya yake, please si jambo jema hata kidogo

    ReplyDelete
  21. KUMAMAYO NINYI NYOTE AMEBAKA NDIYO WANAWAKE HAWAWATAKI MPAKA WANAWAPA MADAWA YA KULEVYAA WANAWALA NA NYUMA

    ReplyDelete
  22. kinachokupeka USA nini
    babiani mbaya kiatu chake dawa
    shule kweli utaijuwa tu kwa watu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad