Nay na Siwema walifanikiwa kukaa kwenye uhusiano kwa kipindi kirefu na kufanikiwa kupata mtoto ambaye walimpa jina la Curtis kabla hawajatengana.
Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, Nay wa Mitego alisema tayari ameshatuma wanasheria wake na wanaendelea kulishughulikia suala hilo kwa ukaribu zaidi.
“Nashukuru Mungu mambo bado yanaenda vizuri, wanasheria wangu wanalishughulikia hili suala kwa ukaribu zaidi. Naamini tunaweza kumsaidia. Lakini sio nataka kumsaidia kwa sababu ni mpenzi wangu, tayari tulishaachana na hatuwezi kurudiana,” alisema.
Aliongeza,
“Mimi sasa hivi nipo kwenye mahusiano na mtu mwingine, pia na yeye bila shaka alikuwa kwenye mahusiano. Kwa hiyo mimi nimemsaidia kibinadamu zaidi, kama alinikosea tayari yalishapita, hakuna aliyemkamilifu.”
Umemsaidia kibanadamu lakn pia huyo ni mama wa mtoto wako ni mazazi mwenzio usipomsaidia mtoto akikua akajuanmama yake alipata matatizo na baba ulikuwa na uwezo wa kumsaidia na hukufanya hivyo atakuchukia mazima...fanya kwa ajili ya mtoto mliyepata pamoja
ReplyDeletealiyekuuliza ni nani??
ReplyDeleteukimsaidia mtu sio lazima upige lamgambo msaidie hata ukimsaidia kimyakimya akitoka atakushukuru. ndio walewale mpo wengi watz mnaopenda kujionyesha.
ReplyDeleteMajirani twasema,Hakuna mwanamke anaweza kukuvumilia kama Siwema.
ReplyDelete