SNURA Afunguka Kuhusu Video ya Chura Kupigwa Katika Vituo vya TV...Adai Anaeona Haina Maadili Asiangalie

Mwimbaji Snura wa Majanga amefunguka haya kuhusu maadili ya Video yake mpya ya Chura na kuhusu kama itapelekwa kwenye vituo vya Television:

“Kiukweli video ya Chura nimeifanya maalum kwa ajili ya youtube na wala sina mpango wa kuipeleka kwenye Tv yoyote Tanzania, licha ya kuwa nimetumiwa taarifa kuwa Kenya imeshaanza kuchezwa, kwa wanaosema haina maadili mimi sijaitengeneza kwa ajili ya Tv bali youtube kwa anaependa kuitazama ataitazama na kwa mtu ambaye kwake haina maadili asiingie youtube kuiangalia”  Snura

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Malaya wewe nyooooo

    ReplyDelete
  2. Mtu na akili zako unaweza kujizalilisha kama hivyo

    ReplyDelete
  3. Zero Brain Music ni Kipaji ujue wengi mnalazimisha,,,Video ya chura sio tu haina maadili haina mvuto wala maana sana sana ume wapa promo wale wachezaji kwa wale wanao penda Matako Makubwa kama Yale wawatafute wale wa dada.

    ReplyDelete
  4. Shenz umelaanika ww hujuwi hata kuimba fyuuuuu.

    ReplyDelete
  5. OVYOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  6. Upuuzi mtupu kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad