Tetesi ya Siri Nzito Kati ya Diamond na Mrembo Aliyecheza Kwenye Video ya Raymond Kwetu Hii Hapa

Kupitia Mtandao wa Instagram Siri Nzito nzito zinaendelea kuwekwa wazi kuwa kuna siri nzito kuwa Mwanamuziki Diamond Platnumz anatoka na mrembo Officiallyyn ambaye ameonekana kwenye video ya Msanii mpya wa WCB Raymond kwenye wimbo wake Kwetu....Chanzo cha habari hii kinasema Diamond na Msanii huyo walianza kutoka muda toka mwaka jana...Inasemekana imefikia mpaka mrembo huyo amejichora Tattoo ya Simba mgongoni kwake ambalo ni jina la analojiita Diamond..
Inasemekana Mrembo huyo Lyyn kwa Sasa anapokea michambo ya nguvu na Vitisho kutoka kwa Team Zari huku...Moja ya Kitisho ni Hichi hapa Chini kutoka Instagram

Wakati wengine wakirusha madongo kwa Diamond na Mrembo huyo Wengine wanampongeza Diamond kwa kuopoa kitu kizuri....
Soma Huyo Alichoandika:
Nataka_shari 
"UMEJUA KUCHAGUA
Asanteeeeeee @diamondplatnumz c kwa uchaguzi huu kabla hujampata huyu ndo MZURI uliyemmiss kwa hawarakikongwe unakuza tuu mtoto wa jirani yetu_ila mnambemenda mtoto we unapiga mama anachakazwa bila kukaedit katoto kanatia hurumasema video queen moyoni ashakutia DOA na hulitoi hata kwa jiki hahaa ila domo unaroho mbaya video queen umempangia mjengo katulia tuli Bibi nae ungempangia gheto south aache habari ya ntombe nilale huyu video queen wa msanii wako RAY n saluuuuutemtoto Hana makunyanzi usoni kama hawarakikongwe bila kuedit picha kuwa ya njano hapost @zarithebosslady unaswaga za kitoto unaedit picha kama upinde wa mvua tokea lini we Ukawa rangi sawa na majani yaliyopigwa juahahaha yamebaki mapenz ya insta moyoni network haisomi hureee wapi Lyn Mkali wako @zarithebossladyDOMO WE NI MFUNGWA ULIYESHINDIKANA UNAIBA MPK JELA SIJUI WATAKUFUNGA WAPI"

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umalaya unashangiliwa sana siku hizi, kweli nyakati za mwisho zimetimia

    ReplyDelete
  2. sasa mlifikiri Domo ataishi milele na kizee jamani. huyo demu ndo saizi yake wameenda sana.

    ReplyDelete
  3. Du! kitoto kizuriiiiiiiii, bi masumboko ataandika kila aina ya mafumbo. alifikiri kuzaa dili kwa Dai kaingia choo cha xxxxxx

    ReplyDelete
  4. Hahhahahhahahahha domoooo hapa umenikosha haswaaaaa....yani safi sana sikufagiliagi lakn kuliko wema na zari bora haka kabint spesho mara elfu100...safi mondiii sahv mi ni shabiki wako sio kutukuza umri kwa jizee lile bibi zima limekalia shari insta kama unakula kula bila kupiga kelele

    ReplyDelete
  5. bora kapata kijana mwenzie wanendana, Nyapu ilotoa watoto 4 kashaikinai chezea Domo.

    ReplyDelete
  6. NIMEFURAHI SANA KUMPATA WIFI MPYA MTZ MWENZETU TUMECHOKA KUTOFAUTISHA BI SANDRA NA BI KIZEE. MAANA MIAKA YAO NI SAWA.

    ReplyDelete
  7. mie namsapoti mrs diamond kwa kutulia kimya na kuwaacha nyote mkae kimya nyote madwaz au sio

    ReplyDelete
  8. we nawe mrs diamond yupi????????????!!!!!!!!!, kamuoa kwa ndoa gani??/ yeye ni muislam .hajaoa bado huyo ni hawaraaa tu. kitoto hicho wanaendana kibichi ndo waoane kila la heri.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad