Video: Je, Umeiona Video ya Chura ya Snura? itazame Hapa


Video: Je, Umeiona Video ya Chura ya Snura? itazame Hapa Chini:

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Je Hii ni Elimu gani dada zangu. Mkicheza kama live sex , Mna watoto, mabinti na vijana. Hivi nyinyi mnaelimu yoyote au. Naomba mnijibu. Au mnatumia sex kwa maisha yenu. Ni uswahili wa kutupwa. Hii ni karne ya 21 wanawake mnachansi kubwa kuwafundisha mabinti zenu na kuwahimiza wajielimishe kusudi wajikomboe kijinsia. Lakini mnawawafundisha unyago hadharani wa kikabila . Je mna utu hamna. je Hiyo sex ndiyo inawafanya Watoto wenu wasimalize shule. Nyinyi kabila gani. Hata Wamakonde hawajianiki namna hii. Ndo utamaduni gani wa kunengua viuno tu bila kusoma. Ndo kutwa mnalalia hiyo sex kama mashine. Naona haya kama mwanamke mwenzenu mtanzania kwani mnawapotosha vijana na watoto. Kwani hamna sehemu za siri mkafanye hivyo. Msitudharalishe. Ningependa kujua kisomo cha hawa akina mama.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio ujue shetani anazidi kuabudiwa

      Delete
  2. Video haina tofauti na watumbua majipu

    ReplyDelete
  3. Ovyooo hajuwi hata kuimba kazi yake kudhalilisha wenzake tuu.

    ReplyDelete
  4. upumbavu mtupu wimbo ana video hazina maana yoyote .mimama mizima upuuzi tu.

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  6. Naomba BASATA wafungie wimbo na video hii haraka sana

    ReplyDelete
  7. BASATA fungia huu ujinga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad