Wakenya Wameanza Tena...Waitangaza Daraja Jipya la Kigamboni Kuwa lao

Safari wamehamia kwenye daraja la kigamboni.yani wameona haitoshi kwa mlima kilimanjaro,olduvai gorge,diamond platnumz....

Soma hii Hapa Chini:


Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ama kweli wewe udaku kwa kupaka choo ni kiboko hata mwendawazimu haiingii akilini kigamboni na kenya wapi na wapi kwa wakati kama huu wamtandao wazi kama sio fitina ni nini

    ReplyDelete
  2. Fitina za bure,hilo daraja hata twafanya kuliona kwa mtandao,tutasemaje niletu na haliko Kenya.Utafanya wakenya tu unlike hii page bure

    ReplyDelete
  3. Haha we unasema bridge ya kigamboni? ..Mbona wanajitangaza hapa Europe Etii Magufuli is Kenya president...Ooh nimechokaje .sio makosa yao..wabongo tumelala sana,tukijastuka kumepambazuka wao week moja mbele...Watz Tunajuwa matusi tuuu..Mungu Atuongoze

    ReplyDelete
  4. Udaku.com. wanapokosa cha kuandika

    ReplyDelete
  5. Asee wanapenda sana vitu vizuri vizuri tu ; haya bwana

    ReplyDelete
  6. Anon ndio wanzetu wanajipenda mpka na muonekano wa mazingira yao sisi hmmmm hata wacha wapende vitu vizuri vizuri kwa kuwa wanayapenda maendeleo ya nchi yao ndio kioo cha jamiii,

    ReplyDelete
  7. Sasa kama sisi wabongo tumelala wakenya wakitutangaza kuna noma gani, sisi hata tukienda Europe si huwa tunaona aibu kusema sisi ni waTZ. Wakenya wanaona fahari kwa vitu vizuri kuwa East Afrika. Waacheni wakenya watutangaze hata wakidai kuwa Tanzania iko Kenya poa tu. WaTZ tu mahodari sana wa kulalama, kwani mkenya akisema daraja liko kenya kuna tatizo gani, na sisi tukienda ulaya tudai Nairobi iko Tanzania.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ha ha ha ha uwiii, na Kisumo ipo Mara, na Obama asili yake ni Tz Kenya walihamia tu....

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad