Wako Wapi Salum Mwalim, John Mnyika na Tundu Lissu?

Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.

Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.

Je Kasi ya Magufuli Imewanjamazisha au ndio Ukiona Kobe Kainama Ujue Anatunga Sheria....?

Nafasi za Kazi Tembelea www.ajirayako.com
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fanyeni kazi mafisi,magufuli hataki kusikia figusu zenu,hao jamaa wapo na ikitokea figusu watatumbua.

    ReplyDelete
  2. Wamehamia CCM

    ReplyDelete
  3. wanafanya kazi na kufatilia pakitokea maovu utawasikia

    ReplyDelete
  4. Waongee hata kama hakuna cha kuongea?Mambo yakiwa ndivyo sivyo utawasikia tu.Tumwache JPJM aitengeneje Tanzania.

    ReplyDelete
  5. Mtoa mada unatakiwa utumbuliwe, shida ni nini. kuwaona waongee au wanafanya kazi? Unjua walikuwa wanaongea kwa sababu mambo yalikuwa mabaya kumbuka hao jamaa ni wazelendo kama JPM ndio maana wanafuatilia kila kitu hawaachi hata mfupa ikionekana chembe ya uchafu watalipua bomu ili jipu litumbuliwe. Haya yanayotumbuliwa ni kwa sababu ya kelele zao. JPM bado anatumbua sasa waongee nini.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad