Wastara Juma Aeleza Kwanini Ndoa yake na Mbunge Imevunjika Ndani ya Siku 80, Pia Kukatwa Mguu

Mwigizaji Wastara anavyo vichwa vya habari Tanzania kutokana na ndoa yake kuvunjika ndani ya siku 80 akiwa kaolewa na Mbunge wa Zanzibar, hii ndio ndoa yake iliyowahi kukaa kwa muda mfupi zaidi… kaongelea pia mguu wake kutaka kukatwa na mengine kwenye hii video hapa chini.

Tazama Video Hapa Chini:

Chanzo:Millard Ayo

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bi mkora hujachoka na mitaandao
    Unayataka shoga

    ReplyDelete
  2. Muache aongee funguka mama dukuduku liishe kisa cha kufuga nyongo ufe na sumu mwilini....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad