Watanzania Kwa Uchafu Tumeshindikana..Embu Ona Huyu Katupa Takataka Daraja Jipya


Pamoja na Jitihada za Paul Makonda Kuanzisha kampeni ya Usafi Jijini Dar es Salaam lakini kuna baadhi ya watu wanazikwamisha juhudi hizo kwa makusudi..hizi takataka zimetupwa daraja jipya la kigamboni ambalo limefunguliwa week iliyopita tu...

Una maoni gani kuhusu hili?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapana udaku..Watanzania Ni wasafi...hilo la kwnza namuomba Makonda na city council waweke trash attached ktk nguo hizo halafu tuone nani atatupa chino Labda punguwanii..tuanzishe haya halafu pitia Kila jioni kuhakiki jinsi cc wabongo tunavyopenda usafi..ila uhaba WA facilities Labda iturudishe nyuma..jiji likusanye kodi wabadhirifu wasadishwe naamini tutakuwa na hela za kuendesha miradi ya public gardens toilets .mapipa ya taka na milingoti inayoweza kubeba benders na usafi WA mji kwa ujumla na kuipa new look daresalama na nyumba zote xinazo hitaji kupigwa rangi na repair ndogo ndogo...watu wetu na waUri na mji wetu Ni nzuri na viongozi wetu Ni wazuri...optimisism na positivity is the call of the day..Makonda I assign this homework to yr desk..JPJM..WE NEED THE CHANGES FOR BETTER TZ

    ReplyDelete
  2. Aliyetupa kafanya maksudi...(w)atafutwe ili tujue lengo lake ni nn? au ni mgonjwa wa akili?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad