Mapenzi yanaumiza, kama hujawahi kuumia huyajui.
Na kama unahitaji ushahidi kutoka kwa mtu ajuaye maumivu yake kwanini usimuulize Idris Sultan? Ni kwasababu mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014 anauguza jeraha la moyo baada ya mwanamke ampendaye – Wema Sepetu kumchoma kwa mkuki wenye moto moyoni mwake.
Wakati akiwa safarini jijini Nairobi, alishangazwa na video inayomuonesha mpenzi wake akimbusu mwanaume mwingine. Video hiyo imekuwa viral mtandaoni. Story zinaeleza kuwa pamoja na jamaa huyo kuwa ‘chakula’, bado ni mwanaume tu na video hiyo imemuumiza mtoto wa Sultan.
Idris amepost picha hiyo juu kwenye Instagram na kuandika:
“I have learnt to consider all my failures as lessons learnt the hard way. As i focus on work kesho Jumapili i will land in Nairobi at 7:20 asubuhi.”
Bado Wema hajasema chochote.
ReplyDeleteNdo maana kaitwa janvi la wageni vipi anambusu mwanaume mwingine wakati yuko na Idris. Na mwanamke ukiwa unataka sifa ndo hivyo unaishia kupitiwa na kila mwanaume
PROJECT.
ReplyDeleteNa bado Idris utakoma mwenyewe kwani si uliambiwa lkn unajifanya unajua.....Unacheza na mayai yako ya big brother mbele ya mmbwa koko bibi bomba we unaakili kweli. Kashakuchuna kamaliza umeshafirisika na kubaki na vimradi vyako fyongo afanye nini sasa asitafute wenye pesa Gold Digger....Mtoto wa kiume unafekiwa mpaka mimba ili wakukamue vizuri mihela ya big brother loooooooohhhh pole sana dogo. Ni bora mungu akupe akili akunyime mali tu....
ReplyDeleteDogo mwenyewe chakula AKA bwabwa mtoto mzuri anapiga picha na demu yeye ni kama ni demu.
ReplyDeletemapenzi ya kwenye insta hayo! kwanini usimuulize wema unakuja kuweka insta ili kila mtu asome! ndio maana mwenzio anatafuta wanaume acha kuanika mambo yako ya ndani kila siku! mnatia kinyaa! kwani umelazimishwa kuwa naye muache na wewe mbona wenzio walimuacha na maisha bado yanaendelea!
ReplyDeleteMie jana nilikua na wema twiga hotel mtoto mtamu sana
ReplyDeletemtamaliza yoote but Wema anazidi kuwanyima usingizi.
ReplyDeleteilaanazeekaaa na kuzidi kuchoka,,ukimwangalia wema wa 2012 -13 -14 alikuwa very mzuri ila juzi nilimwona mwanza dooooooh yani amebaki jina but mwili umechoka mbaya..lets wait and see
Delete