Wema Sepetu Auvunjavunja Moyo wa Idris Sultan Kwa Video hii Akibusiana na Mwanaume Mwingine

Mapenzi yanaumiza, kama hujawahi kuumia huyajui.

Na kama unahitaji ushahidi kutoka kwa mtu ajuaye maumivu yake kwanini usimuulize Idris Sultan? Ni kwasababu mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014 anauguza jeraha la moyo baada ya mwanamke ampendaye – Wema Sepetu kumchoma kwa mkuki wenye moto moyoni mwake.


Wakati akiwa safarini jijini Nairobi, alishangazwa na video inayomuonesha mpenzi wake akimbusu mwanaume mwingine. Video hiyo imekuwa viral mtandaoni. Story zinaeleza kuwa pamoja na jamaa huyo kuwa ‘chakula’, bado ni mwanaume tu na video hiyo imemuumiza mtoto wa Sultan.

Idris amepost picha hiyo juu kwenye Instagram na kuandika:

“I have learnt to consider all my failures as lessons learnt the hard way. As i focus on work kesho Jumapili i will land in Nairobi at 7:20 asubuhi.”

Bado Wema hajasema chochote.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

  1. Ndo maana kaitwa janvi la wageni vipi anambusu mwanaume mwingine wakati yuko na Idris. Na mwanamke ukiwa unataka sifa ndo hivyo unaishia kupitiwa na kila mwanaume

    ReplyDelete
  2. Na bado Idris utakoma mwenyewe kwani si uliambiwa lkn unajifanya unajua.....Unacheza na mayai yako ya big brother mbele ya mmbwa koko bibi bomba we unaakili kweli. Kashakuchuna kamaliza umeshafirisika na kubaki na vimradi vyako fyongo afanye nini sasa asitafute wenye pesa Gold Digger....Mtoto wa kiume unafekiwa mpaka mimba ili wakukamue vizuri mihela ya big brother loooooooohhhh pole sana dogo. Ni bora mungu akupe akili akunyime mali tu....

    ReplyDelete
  3. Dogo mwenyewe chakula AKA bwabwa mtoto mzuri anapiga picha na demu yeye ni kama ni demu.

    ReplyDelete
  4. mapenzi ya kwenye insta hayo! kwanini usimuulize wema unakuja kuweka insta ili kila mtu asome! ndio maana mwenzio anatafuta wanaume acha kuanika mambo yako ya ndani kila siku! mnatia kinyaa! kwani umelazimishwa kuwa naye muache na wewe mbona wenzio walimuacha na maisha bado yanaendelea!

    ReplyDelete
  5. Mie jana nilikua na wema twiga hotel mtoto mtamu sana

    ReplyDelete
  6. mtamaliza yoote but Wema anazidi kuwanyima usingizi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ilaanazeekaaa na kuzidi kuchoka,,ukimwangalia wema wa 2012 -13 -14 alikuwa very mzuri ila juzi nilimwona mwanza dooooooh yani amebaki jina but mwili umechoka mbaya..lets wait and see

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad