President Magufuli alisema :
‘Siku nyingine hakuna ubaya hata NSSF mkawa ndio wawekezaji wakubwa wa Tanzanite mkawa mnanunua Tanzanite kutoka kwa vijana hawa badala ya kuwa inavushwa mpaka Kenya na kwenda Kenya, badala ya Tanzania kuwa ya kwanza kuuza Tanzanite duniani inajitokeza India alafu inafata Kenya‘
‘Unajua saa nyingine watu wanatuona Watanzania sijui tukoje, huyu shetani aliyetulaani sisi Watanzania kwanini asife? hata hatuhurumii kidogo? basi kama ni kuswali na kusali tusali sana ili tubadilike, tuthamini mali yetu kwa ajili ya vizazi vyetu‘
Kumsikiliza zaidi unaweza kubonyeza play hapa chini…
Hahhahhhaahh uwiiiiii eti drink is it sweet??drink hahahahahah daah kaniua mbavu...mpendwa Raisi wetu ana kataaluma ka ukomedi nn maana hotuba imejaa vichekesho hadi huboreki kumsikiliza
ReplyDeleteMashetani watatu wanaoiua nchi ni corruption, mifumo mibovu ya usimamizi na katiba.unfortunately bado wako well alive. .
ReplyDelete