AUDIO: Rais Magufuli ‘Huyu Shetani Aliyetulaani Watanzania Kwanini Asife?’

Ni hotuba ya Rais Magufuli akiwa Arusha kwenye kuweka baraka zake kwenye majengo mapya ya PPF ambapo kwenye hotuba yake iliyochekesha watu wengi aliongelea pia ishu ya madini ya Tanzanite yanayopatikana Tanzania pekee lakini nchi zinazotambulika kuyauza duniani ni India na Kenya.

President Magufuli alisema :
 ‘Siku nyingine hakuna ubaya hata NSSF mkawa ndio wawekezaji wakubwa wa Tanzanite mkawa mnanunua Tanzanite kutoka kwa vijana hawa badala ya kuwa inavushwa mpaka Kenya na kwenda Kenya, badala ya Tanzania kuwa ya kwanza kuuza Tanzanite duniani inajitokeza India alafu inafata Kenya‘

‘Unajua saa nyingine watu wanatuona Watanzania sijui tukoje, huyu shetani aliyetulaani sisi Watanzania kwanini asife? hata hatuhurumii kidogo? basi kama ni kuswali na kusali tusali sana ili tubadilike, tuthamini mali yetu kwa ajili ya vizazi vyetu‘

Kumsikiliza zaidi unaweza kubonyeza play hapa chini…

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahhahhhaahh uwiiiiii eti drink is it sweet??drink hahahahahah daah kaniua mbavu...mpendwa Raisi wetu ana kataaluma ka ukomedi nn maana hotuba imejaa vichekesho hadi huboreki kumsikiliza

    ReplyDelete
  2. Mashetani watatu wanaoiua nchi ni corruption, mifumo mibovu ya usimamizi na katiba.unfortunately bado wako well alive. .

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad