Baada ya Kusimamishwa Kuhudhuria Vikao vya Bunge, Zitto Kabwe Acharuka

Rais Magufuli tunakuunga mkono kwa dhati kupambana dhidi ya ufisadi. Tunakupinga kwa nguvu zote kupambana dhidi ya demokrasia.

Kuanzia mwanzo tumekuunga mkono dhidi ya ukwepaji kodi, ubadhirifu, uvivu na uzembe. Tangia mwanzo tulionya kuwa ni lazima udhibitiwe na Bunge ili ufanye kazi kwa mujibu wa Katiba. Hivi sasa wewe Rais ndio unaendesha Bunge kwa remote control. Tutakupinga kuturudisha nyuma. Hutafanikiwa kamwe kubomoa misingi ya taasisi za uwajibikaji tulizoanza kuzijenga.

Narudia nukuu muhimu sana " ukitaka kutawala tawala peke yako. Ukitaka kuongoza ongoza na wenzako". Rais Magufuli Tanzania inataka uongozi madhubuti na sio itawapendeza wa imla. Huko tumeshatoka na Watanzania hawatakubali kurudi huko.

Haya kayaandika kwenye ukurasa wake wa Facebook

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ama kweli !1 Wewe Zito siamini kama wanavyosema umeingia kwenye fesibuku Unafanya nini!!??? Nilizani uko kwenye halakati za kutafuta Jiko kwa ajili ya Ramadan! Siasa ulijaribiwa ukashindwa sasa siasa imekuacha wewe unaifata Utaaibika mwangu! Siasa inahitaji Umahiri na Elimu .. Hivyo pia vigezo huna.. Ssasa choko choko ya nini Uko wapi kwa sasa Ujiji au umekwenda Kalemi? Chukua likizo ya muda tuangalie kingine cha kufanya!! Mwacheni Baba JPJM bila kumbuguzi afanye yake ambayo wewe umeshindwa kumpa Ushirikiano ulipo hitajika zaidi ya kuleta skendo na sokomoko.. PUMZIKA PATA MSHAURI JENGA FAMILIA PIA SOMA NA UITAFSIRI HUO MWIMBO WAKO WA DEMOKLASIA .. UIJUE MAANA YAKE HALISI .. NA KUPA NYONGEZA PIA JUA OPPOSITION ROLE IN BUNGE NA MAANA YAKE NINI HALAFU Labda utajielewa...Inatosha ulivyo tuibia Muda katika Bunge... KUCH NEHI JITO.. KUCH NEHI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Najua upo kwenye usingizi mkali na unaota na unaiona tanzania kama ulaya.Ukiamka asubuhi nenda shule na waombe walimu wakufundishe kumkosoa Zito.

      Delete
    2. anony wa 7.50 am huna unalolijua kuhusu zito inafaa wewe ndo uamuke usingizini maana una matongo tongo

      Delete
  2. Ama kweli !1 Wewe Zito siamini kama wanavyosema umeingia kwenye fesibuku Unafanya nini!!??? Nilizani uko kwenye halakati za kutafuta Jiko kwa ajili ya Ramadan! Siasa ulijaribiwa ukashindwa sasa siasa imekuacha wewe unaifata Utaaibika mwangu! Siasa inahitaji Umahiri na Elimu .. Hivyo pia vigezo huna.. Ssasa choko choko ya nini Uko wapi kwa sasa Ujiji au umekwenda Kalemi? Chukua likizo ya muda tuangalie kingine cha kufanya!! Mwacheni Baba JPJM bila kumbuguzi afanye yake ambayo wewe umeshindwa kumpa Ushirikiano ulipo hitajika zaidi ya kuleta skendo na sokomoko.. PUMZIKA PATA MSHAURI JENGA FAMILIA PIA SOMA NA UITAFSIRI HUO MWIMBO WAKO WA DEMOKLASIA .. UIJUE MAANA YAKE HALISI .. NA KUPA NYONGEZA PIA JUA OPPOSITION ROLE IN BUNGE NA MAANA YAKE NINI HALAFU Labda utajielewa...Inatosha ulivyo tuibia Muda katika Bunge... KUCH NEHI JITO.. KUCH NEHI

    ReplyDelete
  3. Mh. Zitto.. Hivyo hii lugha unayo itumia hapo juu with hidden blames umejifundishia wapi??

    ReplyDelete
  4. Unasema nini?? REMOTE CONTROL NA KATIBA... WEWE UNA TUHUMU AU UMETUMWA?? AU UMECHANGANYIKIWA? JE UNAJUA PROXY MAANA YAKE NI NINI ... NA DEMOKRASI MAANA YAKE NI NNINI.. HALAFU CONSTITUTION NI NINI.... NAKUOMBA UFUPISHE HIZI ACCUSATION AMBAZO ZINAWEZA KUKUPELEKA KULE USIKOKUTAKA... PUMZIKA NA UNYAMAZE!! HII NI BAHATI YAKO UNAELEWA VIZURI NA MAANISHA NINI....BLA BLA UMESHA FANYA SANA SIASA UCHWARA UMEJALIBU ZIMEKUSHINDA.. SASA UNATAKA NINI WEWE?????????????? NJOO KIJIWENI TUTA DISKASI..

    ReplyDelete
  5. Unasema nini?? REMOTE CONTROL NA KATIBA... WEWE UNA TUHUMU AU UMETUMWA?? AU UMECHANGANYIKIWA? JE UNAJUA PROXY MAANA YAKE NI NINI ... NA DEMOKRASI MAANA YAKE NI NNINI.. HALAFU CONSTITUTION NI NINI.... NAKUOMBA UFUPISHE HIZI ACCUSATION AMBAZO ZINAWEZA KUKUPELEKA KULE USIKOKUTAKA... PUMZIKA NA UNYAMAZE!! HII NI BAHATI YAKO UNAELEWA VIZURI NA MAANISHA NINI....BLA BLA UMESHA FANYA SANA SIASA UCHWARA UMEJALIBU ZIMEKUSHINDA.. SASA UNATAKA NINI WEWE?????????????? NJOO KIJIWENI TUTA DISKASI..

    ReplyDelete
  6. Unasema nini?? REMOTE CONTROL NA KATIBA... WEWE UNA TUHUMU AU UMETUMWA?? AU UMECHANGANYIKIWA? JE UNAJUA PROXY MAANA YAKE NI NINI ... NA DEMOKRASI MAANA YAKE NI NNINI.. HALAFU CONSTITUTION NI NINI.... NAKUOMBA UFUPISHE HIZI ACCUSATION AMBAZO ZINAWEZA KUKUPELEKA KULE USIKOKUTAKA... PUMZIKA NA UNYAMAZE!! HII NI BAHATI YAKO UNAELEWA VIZURI NA MAANISHA NINI....BLA BLA UMESHA FANYA SANA SIASA UCHWARA UMEJALIBU ZIMEKUSHINDA.. SASA UNATAKA NINI WEWE?????????????? NJOO KIJIWENI TUTA DISKASI..MWACHE JPJM AFANYE VITU VYAKE.. NI MCHAPA KAZI NA HAPA NI KAZI TU HAKUNA KULALA!!

    ReplyDelete
  7. Kupambana na Demokrasia wapi wewe Bwana Zitto hata akili huna. Unapenda kubwabwaaaajaaa utafikiria huna akili nzuri. Tangu lini kupinda kanuni na taratibu za Bunge zikafunikwa na neno Demokrasia????? Usilitumie hilo neno vibaya mwanasiasa uchwara wewe. Huna kituuu umeishiwaaaa. Kila kukicha unakuja na jambo huna simile bwana mdogo. Tafuta kitu chochote kile kinachokufaa katika maisha siasa zimekushinda. Hatupiganii Uhuru hapa kama ni Uhuru tuliishapata Uhuru kutoka kwa Waingereza mwaka 1961. Kama ni Demokrasia Nchi iliishaingia katika Demokrasia ya Vyama vingi miaka hiyooooo. Kama ni kumdhibiti Rais basi hiyo sio kazi ya Bunge. Kuna mihimili mitatu mikuu katika nadharia nzima ya Utawala ya Serikali, Bunge, na Sheria.(Executive, Legislation and Judiciary) mihimili yote hii inatakiwa ifanye kazi kwa uhuru na kujitegemea. Na pia bila ya muingiliano wowote ule. Sasa wewe unapokuja na lugha ya mhimili mmoja kuudhibiti mhimili mwingine unatuchekesha. Sasa na huo mhimili Bunge audhibiti nani???????

    ReplyDelete
  8. Kimsingi wewe Zitto Kabwe umechanganyikiwa na hujui ni kitu gani unachokizungumza. Achana kabisa na Mh.Rais wetu mtukufu JPM. Muache afanye yake. Wewe kama upo hapo kumchimba Rais wetu na sisi tutakuchimba ili tuyapate ya madhaifu yako. Usijione kama wewe ni wa thamani na maana sana kuliko Watanzania wowote wale. Uwezo wako wa kufikiria ni ule ule kama wa watu wengine. Na sio kweli kuwa una uchungu na Nchi hii. Wewe ni muongo mkubwa sana. Ni mtu mmoja mwenye tamaa na ndoto ya kuja kuongoza Nchi hii kitu ambacho hakitawahi kutokea. Wewe nenda na Siasa zako uchwara pale Kigoma na ukale ile Migebuka na Ugali wa Muhogo......utaisoma namba mwaka huu....HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  9. Kitu kingine ninachotaka kukushaurisha mwanasiasa uchwara wewe ni kuwa achana na tabia za kutumia mitandao huku ukitafuta huruma za watu kwa makosa yako mwenyewe na upuuzi wako. Hizo huruma kazitafute sehemu nyingine yoyote ile. Lakini usitegemee sisi Wananchi wa kawaida tutakuonea huruma kwa upuuzi wako na udhaifu wako.

    ReplyDelete
  10. Wewe Zitto Kabwe usifikirie utaendelea kutudanganya sisi Watanzania. Ni lazima utueleze zile political cultural dimensions including values na beliefs zake. Ni lazima uelewe na uwezo wa kutofautisha yani to distinguish between Constitutional law and Administrative law. Na pia ni lazima ujue hiyo terminology "Government" na zile capabilities ambazo inazo in conjunction with the Legislature and the Judiciary system. Ni lazima ujue mipaka ya hii maneno kabla hujakurupukakurupuka. Tuliza akili wewe na ni bora ukalime mihogo na muchikichi. Huna akili kabisaaaa wewe

    ReplyDelete
  11. The oppositions seems to be just a bunch of thugs not politicians,, it is laughable and they deserve the kind of treatments they get from the knowledgeble CCM cadres
    But do they know that the whole opposition can boycot/get out of the parliament and the Bills will pass according to the constitution????
    CCM should work harder to make sure that in 2020 the number of those indisciplines should be very very minimal

    ReplyDelete
  12. HALAFU HUYU MTU ANASHINDWA HATA KUELEWA ILE CONCEPT PREROGATIVE BEHIND LEGAL POWER. ANAKURUPUKA TU. ANASHINDWA HATA KUELEWA KUWA MUCH OF THE LEGAL AUTHORITY FOR THE MODERN GOVERNMENT IS, OF COURSE, NOW PROVIDED IN LEGISLATION. HOWEVER, THE SIGNIFICANCE OF THESE POWERS SHOULD NOT BE UNDERESTIMATED ALONG WITH THE GOVERNMENT POWERS......Utaisoma namba mwaka huu....HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  13. hivi wewe unayeandika comment zote peke yako.umetumwa?????????andaa kitabu basi ukiuze. unaonekana una hasira na zitto eti jibaba. we una hasira na zitto, zitto ana hasira na magu., patamu hapo!

    ReplyDelete
  14. Nilitaka kumvaa huy Kabw ila namuch kwan mulish mutoshelez. Jamaa huy huwa anajisikia saaana na kujivun. Sijui kam yry njoo anaakili na ujuz kuzid wengin? mwenyew kajimaliz alikua na maleng mazur kweny siasa sasa kajiharib mwenyew basi ten. Atajut wakat hawez kurekebish tena.

    ReplyDelete
  15. Hichi kinacgotokea tanzania kitakuja haribu nchi, hakuna popote mtu ambaye si ccm anaweza kuongea kwenye mitandao wameandalewa watu tizama maoni hapo juu kwenye bunge balaa, wapi mtu at aongee bila kutukana,kudhalilishwa n k bye bye vyama vingi karibu nyerere

    ReplyDelete
  16. Kuwa maaharufu leo sio kuwa maarufu kesho wewe Zitto ni mzito kimawazo kwisha habari yako mwache JPM afanye kazi zake kwenye serikali yake.

    ReplyDelete
  17. Kakangu Zito your my role model, wasamehe wote wenye kukutukana kwenye post hii. Maana ukisoma posti zao hapo utagundua kuwa wapo kwenye usingizi mkali huku wakiota ndoto kuwa wanaishi kwenye Tanzania ya Viwanga iliyoendelea kuliko nchi zote duniani.

    ReplyDelete
  18. Hizo kamati Za maadili mnazijua saaana mlizoea kupelekesha watu ilikuwa ni wakati ule sasa ni kazi tu

    ReplyDelete
  19. CCM MAMBUMBUMBU HIVI WANAMUONA MAGU NI MTENDA HAKI AU YULE BI TULIA ANA PROFESSION YA KUONGOZA BUNGE ZITTO SIO MAJI YENU KUPROVOK MUMEZOEA WABUNGE WENYE POINT NI WA UPINZANI NA MAJI YALIKUWA ROHONI MNAAHAIRISHA UCHAGUZI MUSHINDWE KUWAFUKUZA WABUNGE WA MAANA . TUMEWAZOEA

    ReplyDelete
  20. Wakati wake naye utapita hivi vitu mbona vina mwisho wake

    ReplyDelete
  21. Hii michango yote inaonekana ni ya mtu mmoja, kwa sababu yote inafanana. Inaonyesha mchangiaji ana hasira na zito. Kinachoendelea katika awamu ya tano kinawaumiza sana wananchi wa kawaida, tujiulize kuhusu matibabu, elimu bure, bei ya sukari, milioni 50 kila kijiji, umeme, maji na mambo mengi wananchi wanayoyahitaji. Ndio kwanza wanafunzi wanafukuzwa vyuoni, wabunge ambao ndio watetezi nao wanafukuzwa bungeni halafu sisi tunabaki kushangilia nakuhamasisha msemo wa HAPA KAZI TU, tunafuatilia kinachoendelea au tumebaki na ushabiki wa kushabikia tusichokielewa?

    ReplyDelete
  22. Tena ni Kazi Haswaaaa! JP tunamjua na utendaji wake unajulikana na ameweza kuinspire Viongozi wengene Barani Ulaya sembuse hapa kwetu,,, Zitto nyamaza na uangalie ustaarabu mwingine... Siasa Uchwara zimekushinda tena vibaya sana,,, angalia wenzako kimyaaaaaaaa!! we we tu mewnye uroho wa....... Hatukutaki kauzu soko lipo!!!1 fanya biashala na bei iko poa.... Mwache JPJM atutengenezeee nchi mliyo changia kuiharibu!!!!

    ReplyDelete
  23. Mimi nadhani Zitto Kabwe angejikita na Environmental Development and Sustainability na hasa katika miji mikubwa hapo Tanzania na hasa Dar es Salaam na Mwanza.Pamoja na baadhi ya miji inayokuwa hapo Tanzania. Ajikite na kusimamia upandaji wa miti na kuondoa ile pollution na pia usafi wa mazingira na hasa katika jiji la Dar es Salaam ambapo mambo hayo yako katika degree ya hali ya juu kabisa. Pollution ni tatizo kubwa sana hapo Dar es Salaam kiasi cha kwamba inatishia hali za afya za wakazi wa hapo na hasa magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya hewa(Airborne diseases). Kwa kweli hiyo kazi itamfaa sana huyo Ndugu Zitto Kabwe kwa sababu ndio kitu pekee kinachomfaa kwa sasa kuliko kuingilia mambo mengine ya kisiasa asiyoyaweza.

    ReplyDelete
  24. kwa hakika zito unakera na maloloso yako nia yako nini au na wewe unatafuta kiki kama kina diamondi kua kiakili tunataka amani jirekibishe unchukia usitufanye tujute kukupa kura

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad