Basi Jingine la Mwendo kasi Lapata ajali Eneo la Magomeni Usalama

Basi jingine la mwendo kasi limepata ajali mabaya eneo la Magomeni Usalama. Ni baada ya gari dogo kukatisha kwenye barabara ya magari ya mwendo kasi.


Advertisement

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wabongo punguzeni ujeuri na ushamba sheria imewekwa kuwa hizo barabara ni za mabasi yaendayo kwa kasi iweje wewe na mkweche wako unaitumia barabara hiyo hiyo wakati unajua kuwa hairuhusiwi matokeo yake zinatokea ajali mbaya kama hizo kenge kweli nyinyi wabongo wengine mnatia hasira kudadeki zenu

    ReplyDelete
  2. Kwani hayo mabasi huku ulaya yanapita motorway only hata huko bongo muyawekee mwendo kasi? Huku ulaya yanapita taratibu tena njia hizo hizo za kawaida hivi nyie nani alokuambieni kwamba muyawekee mwendo kasi? Kwa barabara gani? Come on wa tz

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad