Web

Basi la Mwendo Kasi Lagonga na Kuua Mtoto Jijini Dar es Salaam

Top Post Ad

Basi la mwendo kasi ( DART)  limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo

Ajali hiyo imetoke leo katika  eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam.

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Boda boda iweni watulivu haraka ya nini, unaona sasa mtoto ndio kawahi kufika wewe bado

    ReplyDelete
  2. R.I.P pole kwa familia,ila hao dereva wa Bodaboda sio wanachezea maisha ya binadamu sana.

    ReplyDelete