BEKI wa Simba Hassan Kessy Asaini Kuichezea Klabu ya Yanga kwa Miaka miwili

Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy atimae ameasaini kuichezea Klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, Hii ni baada ya mkataba wake na Simba wa miaka miwili kumalizika.

Zoezi hilo lilifanyika juzi usiku mjini Dar es Salaam. Akiwa na Meneja wa Kessy, Tippo Athumani na katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit Kessy ataanza kuitumikia Yanga kuanzia mwezi ujao.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DAH!! UMEFANYA MAAMUZI SAHIHI ILI UWEZE KUPANDA NDEGE . MAANA HAO SIMBA WATAKUWA WANAZIANGALIA NDEGE ANGANI TU...HA HA HA !!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad